Enock gabriel
JF-Expert Member
- Apr 26, 2021
- 348
- 321
WoooowwwHela haina nafasi katika mapenzi. Yan ukianza hizo nasepa kama ifuatavyo. Hakuna uhusiano wowote wa pesa yangu n mapenzi yako. Ukifuata unalolenga unatafunwa then unawekwa kwenye recycle bin.
Na ndio maana aliachana nao ....wameenda kudumu na wanaowahudumia ye kabaki na historia tu hapo.
Jipange usimamie vyote.....Yupo anaelipia kodi ya nyumba tuu
Yupo anaelipia DSTV+bili za maji
Yupo anaelipia mavavi+nauli za town
Yupo anaelipia hospital checkup
Yupo anatunza +kulipia mtoto shule kama unae single mother
Yupo anaelipia transport kama itaonekana nyumbani kwao Kuna matatizo ili aweze kusafiri(mkoani)
Sasa hapa mimi sijui nichague kipi maana nikisimama nchale nikichuchumaa nchale
Kazi kuzana ila wanawake wanatukazia
Kuna wanawake wanaomba Ela mpk unajiuliza kabla ajakutana na Mimi ALIKUA anaishije uyu mtu.Tabia ya kuomba omba ni ya kujiendekeza tu, wapo wadada mi nshakutana nao japo ni wachache sana ila wanapambana na hali zao.
Hawa wenyewe tabia za kuomba omba ni wasumbufu mpka kwa ndugu zao.
[emoji3][emoji3]Kuna wanawake wanaomba Ela mpk unajiuliza kabla ajakutana na Mimi ALIKUA anaishije uyu mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app