A
Anonymous
Guest
Nikiwa nimekaaa kijiweni, jamaa mmoja anasema wazi wazi mkewe anapokea mshahara pasipo Kufanya kazi Serikali ila mpunga kila mwezi unaingia na hili anadai ni kwa watu wengi huo mtindo ndo habari ya mjini kwa sasa.
Nimempongeza kwa hilo maana maana anadai huko Serikalini viongozi wa juu wamekuwa wazi sana.
TAKUKURU nao ndo usiseme wao nao ndio kati ya makundi ya viongozi wanajipatia pesa kwa njia ya Rushwa.
The whole system is Rotten