Bado mtaendelea kutuita wa mchongo?

Ayenda M

Member
Joined
Jan 4, 2018
Posts
98
Reaction score
132
Juzi kati niliandika uzi kuhusu udhamini wa GSM na nkaja na maswali ya ufahamu. Kuna waliokubaliana na hoja na baadhi walikataa kabisa.

Unaweza upitia hapa, Je, ni kweli udhamini GSM ni wa kimkakati?

Kilichotokea leo pale Lupaso ni matokeo ambayo niliyategemea sana. Na kama TFF, TPLB na GSM wasipokaa na wadau wa soka kujadili mkataba huu naona hakuna kitakachoendelea.

Karne hii kutumia nguvu dhidi ya taasisi imara kama Simba tena kwa vitu ambavyo kanuni zinajieleza ni kujidanganya. Ushindi wa Simba ni ushindi wa vilabu vyote vya TPLB ambavyo vilikuwa havina uwezo wa kusimama kama Simba.

Hii iwe kama Alarm kwa TFF kuacha kuishi kwa mazoea. Ni matumaini yangu kuwa kesho Polisi Tanzania au Namungo nao wasimame kupigania haki zao bila woga na kuchoka.

Hongera sana Menejimenti ya Simba chini ya BARBRA.

Nipo hapa nimefungulia EATV nikifuatilia mada isemayo, "TABIA ZA VIJANA ZINAZOWASABABISHA KUPATA MAAMBUKIZI YA VVU". Vaeni soksi wanangu. Usiku mwema.
 
😂😂😂 tuvae soksi sio..?
 
Huyu bwana gharib said Mohammed anajua watu bado wapo kwenye enzi za ujima,,
Afu utopolo wenzie wanachekelea,,,,
 
mara zote timu inayokua na migogoro na tff hua haichukui ubingwa, dalili za simba kuukosa ubingwa zimeshaonekana.
 
Ogopeni matapeli wa mtandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…