Bado naiona nafasi ya Denis Nkane ndani ya kikosi Cha Yanga

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Winga machachari (Messi wa bongo) Denis nkane kijana pendwa wa Prof Nabbi leo kapata nafasi ya kucheza Baada ya kukosa mechi kadhaa kwa tatizo la kusumbuliwa na majeraha.

Bwana mdogo karudi Tena uwanjani hakika bado nafasi yake ipo katika kikosi Cha Yanga kutokana na kujituma kwake na ukizingatia umri bado unamruhusu.

NALIA NGWENA napendekeza kijana apewe muda kwani anayo nafasi ya kufanya makubwa ndani ya Yanga.
 
Kweli ameonyesha bado ana kitu, apewe Muda.
 
Yeye siyo ngasa. Aache kujifananisha na ngasa. Hii itampunguzia mzigo mkubwa sana. Acheze mpira bado mdogo
 
Atolewe kwa mkopo akaongeze ujuzi na kupata nafasi ya kucheza.
Muda aliokaa Yanga ni mkubwa ila hauku mtosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…