Bado najiuliza juu ya mchezaji Benard Morrison

KAGAMEE

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
4,457
Reaction score
5,454
Kwangu mimi usajili bora uliofanyika ni usajili wa Luis na Bwaliya.Baada ya mechi ya jana dhidi ya Gwambina nmekuuliza maswali mengi sana juu ya kiwango cha Morrison.

1. Huyu ndo alikuwa nyota wa Yanga?

2. Akiendelea kucheza mpira wa kisharo namna ile Simba tutamvumilia?
 
Mbona yuko vizuri. Aliingia dk ya 68 na bado akatoa assist 1 ya pekee (kumbuka magoli mengine 2 yalitokana na adabu ndogo). Pace yake upande wa kushoto iliwasubua sana mabeki. Kabla ya kuingia mashamulizi yalikuwa yakitokea kulia tu.
 
Huyu mtoa mada ni utopolo mwenye rangi ya Kihindi

Morrison ni wetu na tunampenda vyovyote msemavyo, zaidi peleka malalamiko yako FIFA.

Hivi jamani hakuna Mwenye ile pasi ya mgongo ya Morrison kuna baba Mkwe hapa anataka kunipatia mtoto wake mwingine kwa pasi ile tu nikimuonesha.

Achana na assist yake ambayo itatumika kujaza full tank kwenye gari la maharusi
 
Mimi mwenyewe naitafuta... ukipata nistue
 
Mbona yuko vizuri. Aliingia dk ya 68 na bado akatoa assist 1 ya pekee (kumbuka magoli mengine 2 yalitokana na adabu ndogo). Pace yake upande wa kushoto iliwasubua sana mabeki. Kabla ya kuingia mashamulizi yalikuwa yakitokea kulia tu.

Mkuu upo sahihi lakn angalia nafasi alizopata,alizifanyia kazi vp?Naona wengi wanahisi mi ni Yanga it's ok kwa sababu wana uhuru kuandika chochote but I'm sure mtanielewa kwa baadae.Ule siyo mpira wa kucheza kwenye clabu kubwa kama Simba.
 
Morrison habariyake imekwisha katika mpira wa nchi hii, ni swala la muda tu ata bench hata kaa atakua anafanya mazoezi tu. Adhabu aliyopewa na wahenga ni kalio liwe linaongezeka na tayari Mambo yameshakaa sawia.
 
Assist yake umeiona?
 

Anafata maagizo ya Mwalimu
 
mashabiki mandazi ndio hawa sasa. kwake yeye mchezaji bora ni anayefunga. sijui bila BM goli la Mugalu lingetokea wapi

We kaa kmya najua kabsa kichwani kwako kuna nini.Huna uwezo wa kujenga hoja kwenye uzi wangu zaidi tu ya kutukana.
 
We kaa kmya najua kabsa kichwani kwako kuna nini.Huna uwezo wa kujenga hoja kwenye uzi wangu zaidi tu ya kutukana.
[emoji23] [emoji23]

Alichocomment kinaendana na uzi wako
 
Uzi wangu ni wa matusi?
bila shaka mpira huujui, mchezaji ubora wake hauonekani kwenye kufunga tu, bali hata kutengenezea wenzake wafunge.
Nb: acha kusikiliza mpira kwa njia ya radio, next time tazama mpira kwa njia ya video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…