M-bongotz omba sana mungu asiligundue hilo mana ni atakuchezea akili mpaka utaiona dunia yote ya zambarau....Sijui niite ni tatizo au nini hiki,demu wangu wa mwisho kabla ya wife bado amenikaa akilini ile mbaya,msitake kujua kwanini tulimwagana, nampenda sana wife lakini huyu mtangulizi wake kila nikijaribu kumtoa akilini inakuwa ishu ingawaje ni miaka karibu minne sasa toka uhusiano ulipokufa by mutual consent.
hahhahaaaaaaaaaa sikutaka kucheka ila ktk black kumenifanya nikajenga picha ya unavotamka hayo maneno nikaishia kucheka alonehv una mapepo? kila nkikusamehe unaanza madudu. cku zako zinahesabika!
Vitu ya kweli aisee.. Huu ndio muziki..
Ulijaribu kutumia mapenzi mapya kusahau mapenzi ya nyuma; it works to some but it doesn't to many!
Kujaribu kumtoa, tafuta vitu vyake vilivyokuwa vinakuboa; capitalize on them, uvifikirie hivyo tu na mwisho utamchukia na hivyo kumfuta akilini!
Ulikuwa kwenye ubongo wangu, Hiyo ndiyo strategic mujarab...mwanamke una akili wewe uko single?
Duh! this is new to me, watu mnajua janja za fundi anyway i would buy this give it a trial it might work out.
Kijana hujui huyo ni mke wangu mpenzi?Kwanza unauliza ili iweje?
Nyongeza haigombi!Sijui niite ni tatizo au nini hiki,demu wangu wa mwisho kabla ya wife bado amenikaa akilini ile mbaya,msitake kujua kwanini tulimwagana, nampenda sana wife lakini huyu mtangulizi wake kila nikijaribu kumtoa akilini inakuwa ishu ingawaje ni miaka karibu minne sasa toka uhusiano ulipokufa by mutual consent.
Sijui niite ni tatizo au nini hiki,demu wangu wa mwisho kabla ya wife bado amenikaa akilini ile mbaya,msitake kujua kwanini tulimwagana, nampenda sana wife lakini huyu mtangulizi wake kila nikijaribu kumtoa akilini inakuwa ishu ingawaje ni miaka karibu minne sasa toka uhusiano ulipokufa by mutual consent.
Umesuuzika na roho yako 🙂🙂...unacheza kwa madaha huku ukijidai.
Pamoja na ushauri wa Kaunga, unahitaji pia ku-capitalize kwenye uzuri wa mkeo. Angalia mazuri na juhudi zake kufanya maisha yenu yawe na furaha, ambavyo kwa sasa huvipati na huna hakika kama ungalivipata kwa ex wako.
Unahitaji na maombi pia. Kumbuka akili yako ilipoishia ni chini kuliko ya Muumba wako. Muambie Mungu siwezi mwenyewe, nisaidie! Utashangazwa!
kumbuka kiapo chako cha NDOWA