FATHER OF HISTORY
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 915
- 638
[h=2][/h]
USHAURI WANGU KWAKO NI HUU UFUATAO
Kwanza nikupe pole bwana mdogo,najua jinsi unavyoumia kwakukosa uhakika na elimu yako ya baadae.Pia najua huenda huna taarifa sahihi juu ya nini ufanye baada ya hapo,lakini nina uhakika unawasiliana vema na wenzio uliomaliza nao masomo juu ya kuendelea na masomo ya juu.
Hata hivyo je:
1.Umeshaomba nafasi ya chuo kikuu? maana huu ndiyo muda wake.
2.Kwa division hiyo,unasifa ya kupata mkopo serikalini,hivyo hakikisha unaomba
3.Omba msaada jinsi ya kujaza hizo nafasi kama bado hujaomba.
NB:
Epuka kutumia neno 'nipo tayari kwa lolote kwa mtu atakaye nisaidia' kwani utapata watu wabaya kama hao uliowataja,kwani watadhani huna shida ya dhati.
Ni vema pia kueleza matatizo yako kwa kina ,km vile labda wewe ni yatima,mlemavu au mazingira magumu ili watu wajue mahitaji yako wakusaidie,kwani kutofanya hivyo watu watadhani unataka maisha rahisi.
Nimatumaini yangu utazingatia ushauri huu na utafanikiwa.
Habari wana jf,naitwa abel kikimba ni mkazi wa mafinga wilaya ya mufindi,kiukweli nimejitokeza tena humu kumtafuta mdhamini ambae yupo tayali kunisomesha kwa elimu ya chuo kwan nimehitimu elimu yangu ya kidato cha sita mwaka 2013 na nina sifa zote stahiki za kujiunga na elimu ya juu,kiupande wangu nimejiandaa kiasi ,mwanzo nilijitokeza na mdhamin aliyesema yupo tayali kunisaidia alisema yupo tayali kunisaidia kwa shart moja tuu yaan awe ananigeuza nyuma mara moja moja,kiukwel nimemkatalia kabisa na nimwemwambia spo tayali kwa shart hlo,nitashukuru endapo atapatikana mdhamin mwenye mapenz mema anaemjua mungu,naomba tuwasiliane kupitia 0763175935