Bado natafuta mwenza wa kiume HIV +

Dawa ya HIV ipo dozi ni miezi 3.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda nyanda za juu kusini
 
Ungeweka email ama no ya simu mpya mana mtu akikudm inamana anakuja na id yake sasa amani ile hatakuwa nayo mana hana hakika kama umeamua tu kuandika ama ni kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah..! Kwahiyo akampate mwathirika mwenzake[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
What if kazaliwa nao?? Why are you being that judgemental?? Kwamba ninyi ni wema sana? Kwamba mnaijua kesho yenu? What if ukawa muaminifu lakini mwenza wako akakuletea?

Ifikie pahala muache kutoa hukumu zenu za kipilato wakati ninyi wenyewe siyo wasafi.!!
 
Na wanaweza kuwa wasafi wenza wao wakawaletea ndani vilevile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BAHARI J,
Yeah ni kweli coz kwa macho nipo vizurii tuuu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ so fresh so clean lbda kupita hata hao ambao ni negative but nimeamua tu kuishi maisha sahihi.
 
Ni muda mrefu toka umeanza kutafuta nazan ni zaid ya miaka 3 sasa bado haujapata, au labda kuna vigezo vigum wanakutana navyo maana nakumbuka kuna jamaa yangu niliishakukonect nae akaja hadi huko .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni muda mrefu toka umeanza kutafuta nazan ni zaid ya miaka 3 sasa bado haujapata, au labda kuna vigezo vigum wanakutana navyo maana nakumbuka kuna jamaa yangu niliishakukonect nae akaja hadi huko .

Sent using Jamii Forums mobile app
Lbda ni ishu ya muda, inshallah mwambie ndugu yako azid kutafuta pia.. mana sio kila ataekufata basi atakua sahihi kuwa mwenza wako mana unawez kufatwa hata na wasio na dhamira kama ulizonazo.. so miaka sio tatizo.
 
Mungu ni mwema atakuskia ukimwamini yeye atakupa sawasawa na hitaji la moyo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ