Habari gani wana JF mko poa..?
Leo nimeona ni vyema tukajulishana na kukumbushana juu ya neno Katiba kwasababu mpaka mda huu kuna baadh ya watu ukiwauliza katiba ni nini bado hafahamu alafu anakuambia anataka katiba mpya duuh inaingia akilini kweli...
Hebu leo tujuzane hata kwa madarasa huru ili tuweze kuipata katiba mpya inayofaa... 😎