Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 2,660
- 3,501
Jambo la kuzingatia:
Nitatumia DAKTARI kumaanisha wahusika wote wa sehemu za huduma za afya. Pia Nitatumia HOSPITALI kumaanisha sehemu zote zinazotoa huduma za afya
Ujue tumezoea kwenye majeshi ndiyo sehemu za kukaripiwa bila sababu mpaka na mitama au makofi muda mwingine. Sasa ajabu ni kwamba kuna madaktari nao wanatamani kama ingewezekana hata wangeruhusiwa kutupiga mitama
Mtu kaja anaumwa tena anakaripiwa si ndio atakuwa anaongezewa homa. Mimi naona ukinipokea cha kwanza nihudumie halafu hayo mengine tuwekane chini baada ya huduma (na sijui utaupatia wapi huo muda)