REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Dah! Kwa namna Wakenya wanavyotapika hapa jukwaani, kwa mtu usiowafahamu unaweza Sema wao wapo levels, kwa namna wanavyowazodoa Watanzania kwamba ni wavivu sana na wenyewe Wakenya ni wachapa Kazi hodari unaweza Sema kwao kila kitu kipo sawa...
Ila kiukweli Wakenya mnahitaji Mapinduzi ya kifikra, kuna thread ililetwa juzi kwamba Tanzania uchumi umeshikwa na wageni ila wageni wanaozungumzwa ni waagizaji wa bidhaa nje ya nchi kama petrol, mafuta ya kupikia, usafirishaji na bidhaa nyingine zisizozalishwa Tanzania
Kenya story ni tofauti sababu huko ni wazungu ndio wameshika uchumi haswa, hapa nazungumzia ardhi ambayo ndio uchumi wenyewe, utashangaa Wakenya wakijitapa wanaongoza kuuza maua na chai huku watu wakifa na njaa, the little fertile pizza has been chopped off by the foreigners and use for their sake
Mbaya zaidi ni kwamba hata miradi ya umwagiliaji ya mabilioni ya shilingi wameyafisadi na yenyewe ila huku hawakauki kumzodoa simba wa Vita ya rushwa JPM dah! Inachekesha πππ
Angalieni wanavyoteseka, hii ndio middle income, nafikiri hao waliowaweka kwenye hilo group wana hitilafu kichwani..
twitter.com

The EastAfrican (@The_EastAfrican) | Twitter
Les tout derniers Tweets de The EastAfrican (@The_EastAfrican). For a clearer and in-depth understanding of the political and economic issues in the East African region. Nation Centre, Nairobi