bado serikali yetu imefumbia macho suala la elim

bado serikali yetu imefumbia macho suala la elim

Travis samwel

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2013
Posts
215
Reaction score
42
nchi nying dunian zilizoendelea ni kutokana na kuwekeza katk sekta za elimu, ss hapa kwetu tanzania shule zpo lakin vitendea kaz haba, hakuna shule ya kata hata moja yenye maaabara ktk masomo sayansi, walimu nao hawapewi moyo katika kaz yao kwa kuboreshewa mazingira yao ya kaz na kulipwa ujira mzur!! Hatutapata muujiza wa elimu kama serikali isipochukua maamuz ya kuwekeza katika elimu!
 
Hakuna shule ya kata hata moja yenye Laboratory una uhakika gani au research gani umeifanya ukaja na conclusio hii. Talk the rearity and ignore assumption in critical issues like education.
 
Back
Top Bottom