nchi nying dunian zilizoendelea ni kutokana na kuwekeza katk sekta za elimu, ss hapa kwetu tanzania shule zpo lakin vitendea kaz haba, hakuna shule ya kata hata moja yenye maaabara ktk masomo sayansi, walimu nao hawapewi moyo katika kaz yao kwa kuboreshewa mazingira yao ya kaz na kulipwa ujira mzur!! Hatutapata muujiza wa elimu kama serikali isipochukua maamuz ya kuwekeza katika elimu!