Bado sijajua watu wanaupendea nini muziki wa Diamond

juvenile davis

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
4,752
Reaction score
4,467
Bongo ina wasanii wengi sana, kati yao 90% hawajui muziki kifupi ni wabovu akiwemo Diamond ila wanapendwa kupita maelezo, na 10% wanajua muziki kifupi ni wakali akiwemo Rama dee na Steve wa RnB ila cha kushangaza hawapendwi(muziki wao).

Sasa nashindwa kuelewa inakuwaje?? Mfano huyu Diamond miziki yake ni ya kawaida tu lakini raia wanamshobokea vibaya sana, kila ngoma anayotoa inakuwa ni national anthem lakini nikisikiliza mi naona ni miziki tu ya kawaida ambayo hata kwenye flash au laptop au memory card yangu siwezi kuweka.

Sijajua watu ni kwamba hawajui muziki au ni nini tatizo au ni ufreemason na uganga wa kupumbaza watu?? Kama ni mganga basi ni kiboko aisee, nasema ukweli ngoma za jamaa ninazozikubali ni Nitarejea na kesho, basi!
 
Mungu mkubwa, karibu sana Dar, pole kwa kuugua nisamehe nilibanwa nilishindwa kuja kukuona huko Dodoma.

Mwaka mkoja ni mkubwa bila shaka umeona Dar imebadilika, tuna daraja la Kigamboni. Tunashukuru kwa kweli, ukirudi salama Mirembe na kupata uwezo wa kuandika ni kumshukuru Mungu.

Nisamehe ndugu yangu, sijakususa nilikuwa nakutumia fedha za msaada kupitia kwa dada yako.
 
Not chilling,
Not scary,
Not interesting.
 
Bongo ina wasanii wengi sana ,kati yao 90% hawajui muziki kifupi ni wabovu akiwemo diamond ila wanapendwa kupita maelezo,,na 10% wanajua muziki kifupi ni wakali akiwemo Rama dee na Steve wa RnB .ila cha kushangaza hawapendwi(muziki wao).sasa nashindwa kuelewa inakuwaje?? Mfano huyu diamond miziki yake ni ya kawaida tu lakini raia wanamshobokea vibaya sana.kila ngoma anayotoa inakuwa ni national anthem lakini nikisikiliza mi naona ni miziki tu ya kawaida ambayo hata kwenye flash au laptop au memory card yangu siwezi kuweka.sijajua watu ni kwamba hawajui muziki au ni nn tatizo au ni ufree mason na uganga wa kupumbaza watu?? Kama ni mganga basi ni kiboko aisee,nasema ukweli ngoma za jamaa ninazozikubali ni Nitarejea na kesho,basi
Kusema Diamond hajui Muziki SI sahihi, Ila Rama D na Stive R&B wana Vipaji vya uimbaji kwa maana ya Ku punch sauti, vile ambavyo Diamond, Ally Kiba na wasanii wa aina hiyo hawana, wasanii wenye uwezo wa Ku punch sauti zao ukiacha Rama D na Stive, Ni wasanii kama Ben Paul, Banana, n.k, Diamond na wasanii wa aina yake utakuta huwa wana Merody tamu ambazo zinawavutia wapenzi wa Muziki, japo hawana uwezo wa Ku punch sauti zao, coz Ku punch sauti Ni kipaji pia, Ila unaweza Ku punch vocal zako na usiwe na Merody nzuri, So Muziki Ni zaidi ya kuimba, na wasanii wengi wa zamani hata waliokua na vipaji vikubwa hawakua na malengo kama walionayo kina Diamond Leo!
 
Kwenye collection yangu ya muziki wa Bongo fleva nina wimbo mmoja tu,wa Diamond ft Ney "Muziki Gani"
 
Bongo ina wasanii wengi sana, kati yao 90% hawajui muziki kifupi ni wabovu akiwemo Diamond ila wanapendwa kupita maelezo, na 10% wanajua muziki kifupi ni wakali akiwemo Rama dee na Steve wa RnB ila cha kushangaza hawapendwi(muziki wao).

Sasa nashindwa kuelewa inakuwaje?? Mfano huyu Diamond miziki yake ni ya kawaida tu lakini raia wanamshobokea vibaya sana, kila ngoma anayotoa inakuwa ni national anthem lakini nikisikiliza mi naona ni miziki tu ya kawaida ambayo hata kwenye flash au laptop au memory card yangu siwezi kuweka.

Sijajua watu ni kwamba hawajui muziki au ni nini tatizo au ni ufreemason na uganga wa kupumbaza watu?? Kama ni mganga basi ni kiboko aisee, nasema ukweli ngoma za jamaa ninazozikubali ni Nitarejea na kesho, basi!
braza mbona jibu umeshalitoa mwenywe kweny huu uzi wako!"ninazozikubali ni nitarejea na kesho,basi"...kama wewe ulivoweza kuzikubali izo ngoma mbili yani nitarejea na kesho ndio vivo hivyo wananchi wengine walivoweza kuzikubali ngoma nyenginezo za diamond zilizosalia...uwezo wa jamaa wa kutoa ngoma zenye flavor mbali mbali ndio unaomfanya aweze kuwin utashi wa kila aina ya watu weny kupenda mziki. Mbali na hizo mbili ulizozielewa wewe,mwengn atasema anaikubali "ukimwona",mwengine "moyo wangu",mwengine "mdogomdogo" na mwengine "nasema nawe" hii ni kutokana na utashi na ladha zao ktk mziki.
Nashukuru kwa muda wako,na ahsante kwa kuja!
 
Hata Mi huwa nashangaa wanaompenda Rick Ross....lakini tutafanyaje sasa kila mtu ana ladha yake....we hupendi mziki wa diamond Mi sipendi wa Rick Ross
 
Kusema Diamond hajui Muziki SI sahihi, Ila Rama D na Stive R&B wana Vipaji vya uimbaji kwa maana ya Ku punch sauti, vile ambavyo Diamond, Ally Kiba na wasanii wa aina hiyo hawana, wasanii wenye uwezo wa Ku punch sauti zao ukiacha Rama D na Stive, Ni wasanii kama Ben Paul, Banana, n.k, Diamond na wasanii wa aina yake utakuta huwa wana Merody tamu ambazo zinawavutia wapenzi wa Muziki, japo hawana uwezo wa Ku punch sauti zao, coz Ku punch sauti Ni kipaji pia, Ila unaweza Ku punch vocal zako na usiwe na Merody nzuri, So Muziki Ni zaidi ya kuimba, na wasanii wengi wa zamani hata waliokua na vipaji vikubwa hawakua na malengo kama walionayo kina Diamond Leo!
Majibu muntashari, umejibu kiukweli sio kishabiki maandazi. Big up. Ningekupa like ila hii simu ya kiarabu kwahiyo sioni like iko wapi.
 
The same boiling water that soften potato hardens the egg
 
Bongo ina wasanii wengi sana, kati yao 90% hawajui muziki kifupi ni wabovu akiwemo Diamond ila wanapendwa kupita maelezo, na 10% wanajua muziki kifupi ni wakali akiwemo Rama dee na Steve wa RnB ila cha kushangaza hawapendwi(muziki wao).

Sasa nashindwa kuelewa inakuwaje?? Mfano huyu Diamond miziki yake ni ya kawaida tu lakini raia wanamshobokea vibaya sana, kila ngoma anayotoa inakuwa ni national anthem lakini nikisikiliza mi naona ni miziki tu ya kawaida ambayo hata kwenye flash au laptop au memory card yangu siwezi kuweka.

Sijajua watu ni kwamba hawajui muziki au ni nini tatizo au ni ufreemason na uganga wa kupumbaza watu?? Kama ni mganga basi ni kiboko aisee, nasema ukweli ngoma za jamaa ninazozikubali ni Nitarejea na kesho, basi!
Wewe hauna tofauti na mimi jinsi ninavyoshangaa WATU WANAPENDEA NINI NYIMBO ZA HUYU NANI SIJUI KIBAKULI MINYIMBO MIBAYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA HATA HAIVUTI LAKINI JITU UTAONA LINASIFIA NA KUTUKANA WENZAKE.
 
Back
Top Bottom