TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Pole sana.anaye jua yupi huyo kumzidi Spain
Soma tenaSpain [emoji633] anachukua ndoo.
Mm niliwaona kwenye Euro, walitolewa kwa bahati mbaya tu ila boli wanapiga. Nilijua tu watajiimarisha zaidi. Wamerejea tena.
MtabiriUtakuja kuwakataa hao watoto soon
Pasi sio ushindiHadi mechi za leo, sijaona cha Brazil au Uingereza mwenye kiungo cha kupambana na Uhispania ya Luis Enrique Martinez.
Mechi dhidi ya Costa Rica alipiga pasi 1045, sijui kama kuna timu imepiga pasi kama hizi kwa miaka 10. Huyu Brazil aliyecheza na Serbia akamfunga 2-0 na tukaambiwa limepigwa samba, ni pasi 500+ tu ndiyo zilipigwa huku Serbia akipiga pasi 400+.
Kwenye mpira wa kisasa kitu cha kwanza kabisa kabla ya yote kamata kiungo. Hii ndiyo falsafa ya Pep na wafuasi wake kina Arteta, Luis Enrique n.k. Spain ya Enrique ina watu hawa Rodri Bosquet Pedri na Gavi.
Picha linaanza Rodri anawekwa CB kivuli, ndani ya uwanja anakuwa kiungo, lengo kuu nikufanya 'overload'. Kinachotokea kunakuwa na umbo la mstatili la Rodri Bosquet, juu yao kuna Pedri na Gavi.
Pale City Pep Guardiola anamtumia Cancelo kama beki lakini ndani ni kiungo, sawa na Mikel Arteta msimu huu anamtumia Zinchenko kama LB, lakini ndani anacheza kama kiungo.
Kwa nilichoshuhudia anachofanya Luis Enrique Martinez (Lucho) timu nyingi zitateseka kama alivyoteseka Costa Rica.
Timu nyingi bado zinaamini sana katika majina na siyo mifumo, Uhispania kuna mfumo unaokufanya uwe 'overloaded'.
Kwa umbo la mstatili ya Rodri Bosquet Pedri na Gavi wewe njoo na viungo wako Declan Rice na Jude Bellingham 'overrated', kuna aibu Ulaya inaenda kutokea.
Jumapili Ujerumani anaenda kufangashiwa virago na Uhispania. Fikiria Uingereza na makelele yao kwa viungo wao Rice Mount na Bellingham wanateseka kwa viungo wa USA Weston Mackenie, Yunus Musah na Tyre Adams.
Habari gani wakikutana na mstatili wa Uhispania? Brazil mnayoisifia ni wazuri kwenye 'flanks'. Kwa 'combination', Tite anazoziamini za Casemiro Fred, Casemiro Paqueta, hizi 'combination' hasa ya Fred na Casemiro imekuwa amefunikwa mara kibao hapo EPL na timu kama Brighton, Southmpton n.k.
Habari gani wakikutana na ile umbo la mstatili wa Lucho? Unapomuona Rodri na Busquet, hawa wote huwezi kuwakandamiza siyo wapotezaji wa pasi, halafu juu kidogo unawekewa Pedri na Gavi, hawa watoto wawili wanajua hadi wanakera.
Uhispania kwa nilivyomuona, ili uweze kumpiga tumia 'counter attack' ukiwa na winga zenye kasi na maamuzi ya haraka, ila suala la kubishana nao eneo la kiungo sahau.
Sijui wanamilikia mpira wa nini kama hawafungiSpain wabovu. Huwezi kumiliki mpira vile halafu ukashindwa kufunga goli.
[emoji38][emoji38][emoji38]Hadi mechi za leo, sijaona cha Brazil au Uingereza mwenye kiungo cha kupambana na Uhispania ya Luis Enrique Martinez.
Mechi dhidi ya Costa Rica alipiga pasi 1045, sijui kama kuna timu imepiga pasi kama hizi kwa miaka 10. Huyu Brazil aliyecheza na Serbia akamfunga 2-0 na tukaambiwa limepigwa samba, ni pasi 500+ tu ndiyo zilipigwa huku Serbia akipiga pasi 400+.
Kwenye mpira wa kisasa kitu cha kwanza kabisa kabla ya yote kamata kiungo. Hii ndiyo falsafa ya Pep na wafuasi wake kina Arteta, Luis Enrique n.k. Spain ya Enrique ina watu hawa Rodri Bosquet Pedri na Gavi.
Picha linaanza Rodri anawekwa CB kivuli, ndani ya uwanja anakuwa kiungo, lengo kuu nikufanya 'overload'. Kinachotokea kunakuwa na umbo la mstatili la Rodri Bosquet, juu yao kuna Pedri na Gavi.
Pale City Pep Guardiola anamtumia Cancelo kama beki lakini ndani ni kiungo, sawa na Mikel Arteta msimu huu anamtumia Zinchenko kama LB, lakini ndani anacheza kama kiungo.
Kwa nilichoshuhudia anachofanya Luis Enrique Martinez (Lucho) timu nyingi zitateseka kama alivyoteseka Costa Rica.
Timu nyingi bado zinaamini sana katika majina na siyo mifumo, Uhispania kuna mfumo unaokufanya uwe 'overloaded'.
Kwa umbo la mstatili ya Rodri Bosquet Pedri na Gavi wewe njoo na viungo wako Declan Rice na Jude Bellingham 'overrated', kuna aibu Ulaya inaenda kutokea.
Jumapili Ujerumani anaenda kufangashiwa virago na Uhispania. Fikiria Uingereza na makelele yao kwa viungo wao Rice Mount na Bellingham wanateseka kwa viungo wa USA Weston Mackenie, Yunus Musah na Tyre Adams.
Habari gani wakikutana na mstatili wa Uhispania? Brazil mnayoisifia ni wazuri kwenye 'flanks'. Kwa 'combination', Tite anazoziamini za Casemiro Fred, Casemiro Paqueta, hizi 'combination' hasa ya Fred na Casemiro imekuwa amefunikwa mara kibao hapo EPL na timu kama Brighton, Southmpton n.k.
Habari gani wakikutana na ile umbo la mstatili wa Lucho? Unapomuona Rodri na Busquet, hawa wote huwezi kuwakandamiza siyo wapotezaji wa pasi, halafu juu kidogo unawekewa Pedri na Gavi, hawa watoto wawili wanajua hadi wanakera.
Uhispania kwa nilivyomuona, ili uweze kumpiga tumia 'counter attack' ukiwa na winga zenye kasi na maamuzi ya haraka, ila suala la kubishana nao eneo la kiungo sahau.
Mimi niko Morocco kwa ajili ya jina Afrika tu mkuuila muafrica kuwa shakibi wa argentia ni ukakasi
Wenyewe moroko hawataki kuitwa waafrikaMimi niko Morocco kwa ajili ya jina Afrika tu mkuu
Sijawahi kusikia hilo.Wenyewe moroko hawataki kuitwa waafrika
sisi wafrica jau sana ila shega tu.Mimi niko Morocco kwa ajili ya jina Afrika tu mkuu
Fungua hiyoSijawahi kusikia hilo.
Pili dunia inaifahamu kuwa Morocco ni Afrika
Bado sio uthibitisho mkuu.Fungua hiyoView attachment 2438369
Walitolewa achana na bahati mbaya.. Ndo anachukua Muingereza πππSpain πͺπΈ anachukua ndoo.