Bado sijapata jibu biashara gani nifanye kwa kipindi hiki hapa dar

Ushauri wenu unahitajika, mtaji usizidi 10m

Nawasilisha
Kwa jinsi nilivyo ishi katika hili jiji,nimegundua biashara 3 ambazo unaweza kufanya na ukafanikiwa kwa 90%

1,biashara ya chakula(cafe),hii unachagua eneo zuri,penye mkusanyiko wa watu,muhimu usafi na ghalama isiwe juu sana ya vyakula,pia unaweza tangaza ukapokea oda ya kusambaza vyakula kwenye sherehe mbalimbali,na katika kumbi au hata watu binafsi.

Bila kusahau usikose juice za matunda,maji baridi,bites(vitafunwa)n.k

2,biashara ya Nguo mchanganyiko za kiume,za kike na za watoto,bila kusahau viatu na pochi za kike

3,min supermarket hii biashara uitafaa sana endapo utaiweka karibu na hotel Fulani au karibu na waarabu wale wanapenda kulakula

NB biashara matangazo,ni vema sana ukitumia fursa ya matangazo ili wateja wakufikie kwa urahisi.
ambayo unatuma hadi mikoani
 
Biashara zipo nyingi tu njoo dm nikupe maujanja na msingi wako hautazidi hata milioni tatu mkuu. Unapiga hela fresh tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…