BADO SIKU 10: Kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Ustawi wa Jamii
KAULIMBIU: Pata Msaada wa Kisaikolojia; Imarisha Afya ya Akili
Vunja ukimya ongea na mwenzako, Unashauriwa kuzungumza na watu wako wa karibu kama vile familia na wafanyakazi wenzako ili kuimarisha afya yako ya akili
π 25 - 30 Agosti, 2025
π Chuo cha Ustawi wa Jamii - Kijitonyama, Dar es Salaam