Bado Siku 11 kuelekea uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995(Toleo la 2023).

Bado Siku 11 kuelekea uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995(Toleo la 2023).

Joined
May 14, 2024
Posts
94
Reaction score
75
IMG-20250306-WA0015.jpg
 
Kila wizara inakazana kupitisha sera zake. Juzi tu wamezindua sera ya elimu , Je sera hizi zinashabihiana na kuangalia mahitaji ya nchi baada ya muda mrefu? Mfano hii sera ya elimu iliyozinduliwa Juzi, inatia maanani aina ya wataalam watakaohitajika kushuhulikia masuala ya ardhi ya muda mrefu kama miaka thelathini ijayo?
If we are not careful we could find ourselves wasting our scarce resources preparing disjointed documents which will not help us achieve our goals in the long run!
Yote hiyo sababu ya uchawa kutaka kujipendekeza kwa Samia!
 
Back
Top Bottom