Taarifa kamili msikilize leo saa 3:30 usiku chanel ten,amehaidi kuweka mambo hadharani.
Labda atakufa yeye.
Taarifa kamili msikilize leo saa 3:30 usiku chanel ten,amehaidi kuweka mambo hadharani.
Tangu mwanzoni mwa mwaka huu 2010 mtabiri 'maarufu' wa Bongo shekhe yahya hussein alisema si mara moja kuwa uchaguzi mwaka huu hautakuwepo na akaendelea kuweka mkazo kuwa hakuna uchaguzi na wanaobisha wataona kama utakuwepo, haya bado siku saba tu tuchague wabunge na raisi tunaemtaka ili aunde serikali, wanaoelekea zaidi kuupata ni JK na Dr Slaa, wengine wanaonekana wasindikizaji. sasa sijui shekhe Yahya ataficha wapi uso wake machoni mwa Watanzania
He.... bado update wakuuTaarifa kamili msikilize leo saa 3:30 usiku chanel ten,amehaidi kuweka mambo hadharani.