Caroline Danzi JF-Expert Member Joined Dec 19, 2008 Posts 3,713 Reaction score 1,265 Apr 5, 2011 #41 Ukicheza kwa vigezo vyako vya kijinga, utaishi msimbe till you go to hell. Nenda primary zote utakuta walimu, hapa sidhani kama kuna walimu wa aina yoyote. Unachemsha.
Ukicheza kwa vigezo vyako vya kijinga, utaishi msimbe till you go to hell. Nenda primary zote utakuta walimu, hapa sidhani kama kuna walimu wa aina yoyote. Unachemsha.
Susy JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 1,431 Reaction score 221 Apr 5, 2011 #42 best ss umevutiwa na sura au avatar zetu?
Maalim Jumar JF-Expert Member Joined Dec 28, 2010 Posts 1,259 Reaction score 118 Apr 7, 2011 #43 Husninyo said: mimi mwalimu wa vidudu ila nataka nijiendeleze nifundishe primary. Nakubalika? Click to expand... Ningekua ninae mwanangu hapo hakika ningekuja mhamisha! Huwezi waita wanetu ''VIDUDU!!! Ninge
Husninyo said: mimi mwalimu wa vidudu ila nataka nijiendeleze nifundishe primary. Nakubalika? Click to expand... Ningekua ninae mwanangu hapo hakika ningekuja mhamisha! Huwezi waita wanetu ''VIDUDU!!! Ninge
Husninyo JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 23,851 Reaction score 9,472 Apr 7, 2011 #44 Maalim Jumar said: Ningekua ninae mwanangu hapo hakika ningekuja mhamisha! Huwezi waita wanetu ''VIDUDU!!! Ninge Click to expand... hahahaha! Mwanao nina uhakika angegoma kuhama.
Maalim Jumar said: Ningekua ninae mwanangu hapo hakika ningekuja mhamisha! Huwezi waita wanetu ''VIDUDU!!! Ninge Click to expand... hahahaha! Mwanao nina uhakika angegoma kuhama.
T Tasia I JF-Expert Member Joined Apr 21, 2010 Posts 1,223 Reaction score 193 Apr 8, 2011 #45 sasa si uende shuleni ndo utawapata kiurahisi!!