Pre GE2025 Bado taifa la Tanzania linaitaji kiongozi Mwalimu

Pre GE2025 Bado taifa la Tanzania linaitaji kiongozi Mwalimu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

fungi06

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2020
Posts
738
Reaction score
1,017
Habari wana jamvi!?

Nimekua katika masuala ya kitaifa kwa mda wa miaka 20, nimeona kwa namna tofauti tofauti jinsi mambo yanavyo endeshwa kisiasa, kiuchumi, mpaka kimadaraka na kugundua hiki kitu
images.jpeg

Walimu walio wengi, katika nchi hii ndio wengi wajuzi na wenye taarifa nyingi kuhusu taifa hili.

Walimu mbali na kulipwa mshahara mdogo, makazi mabovu, na miundombinu iliyo dhaifu.

walimu wamebakia kuwa wazalendo wakubwa kwanzia kuzaliwa kwa taifa langu

images-1.jpeg


Amna kitu kizuri kwenye maisha kama aliye kutangulia akafanya mazuri yakutukuka mpaka kwa mipaka ya kimataifa kama kuleta umoja, uwazi, ukweli, uwajibikaji, na kikubwa zaidi kuamua maamuzi yanayo liinua taifa kueshimika kwanzia rasilimali watu mpaka rasilimali mazingira.

Nimefanikiwa kuona enzi tofauti, zipatazo (5) za utawa wenye historia katika taifa langu mpaka,

Enzi zote zimetawaliwa na watawala tofauti tofauti.

Ikiwa kuijenga historia ya utawala wa nchi yangu kwa matumizi binafsi nimeona enzi zifuatazo na ustadi wao wa nyuma:~

(1) Enzi za walimu.

President_Nyerere_van_Tanzania,_koppen,_Bestanddeelnr_928-2879_(cropped).jpg

Hizi enzi sio enzi tu, ni historia ya taifa, na mataifa ya kusini mwa Afrika, mwalimu aliweza kuitengeneza upya ramani ya taifa kwa kulipambania taifa zidi ya walowezi, na wenye tamaa kali ya mali, huyu akuwaonea huruma watu walio jaribu kulididimiza taifa, kamwe hakukubali uonevu wala unyonyaji wa hali yoyote wa watu wake maana hakuna sifa ya mwalimu inayotaka udidimize au ufanye upendeleo katika shamba moja, yani huwezi kulima shamba alafu upande ule wa kushoto uweke mbolea nyingi na upande hule wa kulia usiweke chochote, matokeo hayatokufuhisha kama unaweka mbolea weka kama huweki usiweke ujue.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

(2) Enzi za mwanasiasa
Huyu wengi tunajua, amna kipindi taifa letu lilifanikiwa kuingia kwenye bogus mikataba kama kipindi hiki. Ilikua ni RUKSA, hiki kipindi inapaswa tujue fika kuwa mikataba mingi ya kuchimba na kutafuta madini ilipitishwa bila kuwa na arifa za kisayansi kutoka kwa watafiti wa kina, hii ilisababishia kuibuka kwa vikosi tofauti kwenye taifa ila iliacha nchi katika matobo makubwa kuruhusu unyonyaji na utafunwaji wa rasilimali bila kuzifanyia uchunguzi wa kina.

(3) Enzi za waandishi wa habari.

Kama tunavyojua wengi, habari hutumika kwa namna kuu mbili tofauti. Habari huweza kujenga(1),, vile vile pia habari huweza kujenga. Waaandishi wengi wa habari huwa hawapendi kuwepo upande mmoja huwa wanajaribu kuwa katikati ya kila jema na baya ili kulinda kazi zao,,,hii inayo msaada na vile vile pia inayo hasara kubwa endapo kukitokea mkanganyiko wa habari.

(4) Enzi za jeshi
Hii awamu nilijua kabisa taifa, kamwe amna jeshi linaweza kujaribu kuparamia madaraka, maana niliona ukiwa mwanajeshi mwenye umaarufu basi utapewa uongozi mdogo, ila ukiwa na akili kidogo za kuweka system ambayo utawapa watu maisha na fursa mbalimbali za matanuzi, ikiwa ni wao na familia zao, basi hawa hujisahah kabisa na kutamalakiwa na fursa za matanuzi maana huamini hiyo hali hutokea mara moja kwenye maisha yao, kwaiyo wakikumbuka tabu za kambi huwa hawatamani kabisa kurudishwa nyuma hata kidogo.

(5) Enzi za ma'engeneer

images-2.jpeg

Hizi enzi katika taifa langu hakukuwai kutokea mapinduzi makubwa kama haya katika taifa langu. Kwanza taifa langu liliweza kufanya maajabu ambayo kwa kipindi kirefu kilionekana kama ni hadisi tu maana kwanzia mwalimu aondoke basi kumekua na msubirisho mkubwa sana na mdondoko mkubwa wa uchumi katika taifa langu,
Hakuna kipindi niliona mataifa mengine yakiongelea kiongozi wetu kama hiki kipindi, mpaka wengine wakasema tuimagufilization AFRICA. sikuwai kuskia uchumi wa blue 🔵, sikuwai kuzani kwamba bwawa linaweza kuleta umeme usio na ukomo kwenye nchi yangu, sikuwai kuzania kwamba eti naweza kutoka dsm kwenda dom kwa masaa matatu tuu🥺, sikuwai kuzania kwamba kumbe kunae kiongozi anaweza kuja maali viongozi wa eneo lile wasiongee kabla wananchi hawajaongea shida zao za ukweli na sijawai kuona ujinga ukisimamiwa kwa miguu miwili namna ile😆. Walevi wa rushwa, waleta fujo, wafitilini, wala rushwabata, wote ilibakia oxygen ya bure tu kwa kuinyonya.

Heshima kwenu ma'engeneer. Na ndoo maana wengi wenu hampendi kujishughulisha na masuala ya siasa maana huwa hamkubali Masuala yasiyo na logic.
Hii enzi wengi tulijua kuwa ni enzi ya vyuma, kwaiyo vyuma laini vilikaza, ila vyuma vigumu vilitakata, sema hakuna kipindi nilishuhudia kiongozi kuongea kwamba tutamkumbuka (he was a God servant) alikuja kwa dhumini maalumu na alituambia anawindwa kuuwawa hakuna kiongozi alieyekua madarakani tokea apo aseme kwa uwazi kama huyu engeneer.

Mungu awape ulinzi sana maengeneer wetu wenye lengo la kuijenga nchi yangu. Na bado hata kesho nikiskia engeneer au mwalimu anataka kuitumikia nchi basi mimi sitoacha kuamka asubuhi kwenda kupanga mstari kumpa haki yake kuwa mtawala.

(6) Enzi za ()
Kiukweli sina wasifu ila najua hizi ni enzi ambalo lolote linaweza kutokea, huwenda tukaja kuwa matajiri sana, au tukawa maskini sana. Haya yote yanawezekana maana kila nikitafuta CV ya professionalism ya enzi hizi naona utulivu ila kwa mbali ni kama mawimbi ni makali ila kwa karibu mawimbi yanachochewa na juhudi za walaji, wapigaji, wanyonywaji. Huwa sijui wapi ni kasi wapi ni kusi lolote linatokea kwa mda wowote.

Tusichoke kuombea taifa letu maana ni bado changa, ila kwa ushauri wa watawala ni huu

*Kila jema na baya lina mzunguko kwa kila chembe ya uhai unayoiacha nyuma yako kamwe tusiwaachie dhoruba uzao wetu ujao kwa kufanya uharibifu wa miundombini watu, mpaka miundombinu mazingira.

Tujijali, tujiepende, tujijenge, tujiendeleze, tuungane katika mazuri, tuwe wakali katika uharibifu na ubaya wa nchi yetu, hii ni tunu ya milele.

Mbarikiwe🙏
 
To be honest Nchi inaitaji kiongozi mwenye utashi na dhamira ya dhati ila knowledge na uchumi na fedha ni kitu muhimu sana. Kuna mtu kama hana ata idea ya fedha mipango na uchumi ata ukimwambi mwamba hapa tumepigwa anasema hapana maana hawezi kufanya cost to benefits analysis. Kiufupi ata debt to equity ratio hawezi kukufafanulia.
 
To be honest Nchi inaitaji kiongozi mwenye utashi na dhamira ya dhati ila knowledge na uchumi na fedha ni kitu muhimu sana. Kuna mtu kama hana ata idea ya fedha mipango na uchumi ata ukimwambi mwamba hapa tumepigwa anasema hapana maana hawezi kufanya cost to benefits analysis. Kiufupi ata debt to equity ratio hawezi kukufafanulia.
Kabisa i agree
 
To be honest Nchi inaitaji kiongozi mwenye utashi na dhamira ya dhati ila knowledge na uchumi na fedha ni kitu muhimu sana. Kuna mtu kama hana ata idea ya fedha mipango na uchumi ata ukimwambi mwamba hapa tumepigwa anasema hapana maana hawezi kufanya cost to benefits analysis. Kiufupi ata debt to equity ratio hawezi kukufafanulia.
Hupo sahihi mkuu,nakubaliana na wewe 99.9
 
To be honest Nchi inaitaji kiongozi mwenye utashi na dhamira ya dhati ila knowledge na uchumi na fedha ni kitu muhimu sana. Kuna mtu kama hana ata idea ya fedha mipango na uchumi ata ukimwambi mwamba hapa tumepigwa anasema hapana maana hawezi kufanya cost to benefits analysis. Kiufupi ata debt to equity ratio hawezi kukufafanulia.
Angalau wewe umenena kitu cha msingi sana.
 
Pamoja na kazi nzuri ya kulijenga taifa iliyofanywa na watangulizi wa hayati Rais Magufuli, bado Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli atabaki kuwa kiongozi bora wa muda wote aliyepata kuiongoza Tanzania yenye siasa ya ujamaa na kujitegemea kwa kiasi.
 
Pamoja na kazi nzuri ya kulijenga taifa iliyofanywa na watangulizi wa hayati Rais Magufuli, bado Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli atabaki kuwa kiongozi bora wa muda wote aliyepata kuiongoza Tanzania yenye siasa ya ujamaa na kujitegemea kwa kiasi.
Upo sahihi sana yani now mambo ni yanaenda kinafki sana amna mlala njaa ataamka aone chombo kinamuoji aache kusema MAMA.

That's is hypocrite na naisi wanajua, utaskia;

Asante mama umewezesha kodi kupanda. Awajua population imekua kubwa na sikuhizi mpaka baiskeli za umeme zinakatwa kodi..

Ila uwekezaji sasa🥴

Utaskia wamekusanya B 70 dodoma. Ila barabara za Bilion 3 tu ni mpaka bajeti. Tena walalamike haswa.

Tunaitaji kila veta iwe. Na kiwanda cha kuchakata chuma, kuchakata cement, hatutaki tena madarasa they confused us.

Tunaitaji kujifunza kwa kuona sio kuadisiwa.

Tunataka watoto wetu wasome huku huku sio kuwapandisha ndege wakasome ngamboo...

Tunaitaji mapesa yanayotutoka na joto hili tuyaone.

Tumechoka report za mkaguzi zenye hasara za mabilioni ya kodi zetu. Kama hamjuia kwa kuinvest basi tuwekeze kwenye viwanda vya chuma.

Juzi nimekasirika sana. Eti msafara unasubirisha watu 1 hour mtu mmoja apite aliye chelewa, basi akatuchelewesha woteee kazini this is foolishness.


Kama unaitajika kufika maali saa 2 kwanini usiende saa 12. Unakuja kutusimamisha masaa ili uwai kwa nusu saa yako.

Kila kitu hii nchi ni ufukara ndo maana viongozi wengi wanalalamika kuwa wanazo PESA NYINGI. Ila awajui wafenyie nini..

Mwisho ndo huu wanakesha bar. Wanachelewa kuamka wanatupangisha foleni 2 hours kusubiria upuuzi wao wa kuchelewa kazini..

Hii nchi tunanyanyaswa na hatupaswi kupuuzia hizi nyongo
 
Pamoja na kazi nzuri ya kulijenga taifa iliyofanywa na watangulizi wa hayati Rais Magufuli, bado Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli atabaki kuwa kiongozi bora wa muda wote aliyepata kuiongoza Tanzania yenye siasa ya ujamaa na kujitegemea kwa kiasi.
Hii iko poa
 
Juzi nimekuta polisi inagombezwa kama mtoto kisa kontena la mh. Limechelewa kutolewa bandarini.

Aise akaingia geti namba 4. Bila kizuizi...

Akati kuna akina sisi tunajichanga miaka 25 kupata pesa ya mtaji. Tukiagiza mzigo unakuja fresh ila pale bandarini mzigo unaweza kukaa mpaka ukaukatia tamaa ya saving yako ya maisha
 
Kwani Nani huandaa ilani ya chama?? Je hayo yaliofanywa hayakuwepo kwenye ilani???? Walimu, wanasiasa, mainjinia, wanajeshi, na wengine wanaweza kutanya yaliyosahihi kwa WAKATI sahihi kwenye taifa lao. Hizi ni mbio za kupokezana vijiti
 
Back
Top Bottom