Bado Trilioni 3 Tu TRA (Tzn) Kuipita KRA (Ken) Makusanyo ya Kodi. Kishindo Cha Tanzania ya Samia Kitapeleka vilio Kwenye Uchaguzi wao 2027

Ulianza kusema huoni matumizi ya pesa ,nkakuleta miradi ikawa unaruka.ruka saizi uko na blaa blaa za jangwani 🀣🀣

Tanzania Ina utajiri gani Sasa kiasi kwamba inaweza kujikuta top 10? Libya ni tajiri na Ina Watu kiduchu.Gabon haipo kwenye Nchi Tajiri wa Mafuta Afya wanabangaiza kama Uganda.By the way Watu wajinga kama wewe ndio mtaji wa Nchi? 😁😁
Zero brain leta mifano ya Africa sio Japan ,hao walisaisiwa na USA baada ya Vita ya 2 ya Dunia so Wacha ujinga ujinga wako.
Mwisho kazi ya kusambaza maji inaendelea pande zote za Nchi,Kila kaya itafikiwa hapa RuvumaπŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DFM38TlM-s5/?igsh=MXI0YzN1em4zYWZoNw==
Samia is doing marvelous work
 
Ulianza kusema huoni matumizi ya pesa ,nkakuleta miradi ikawa unaruka.ruka saizi uko na blaa blaa za jangwani 🀣🀣
Ngoja nifanye kama naongea na mtoto wa chekechea sababu nadhani nili overestimate uelewa wako...; Unajua maana ya directly proportional ? Ni kwamba ukichukua mtu binafsi aliyekuwa anapewa huduma za Afya na Elimu (i.e full grant), alikuwa na uhakika wa kupata ujira sababu serikali ilikuwa inatoa ajira n.k. na hayo yalifanyika wakati mapato / makamuzi yalikuwa madogo kulinganisha na kinachopatikana sasa..; Kuhusu Jangwani umeleta picha za miradi ya maji (ambayo mingi ni misaada) nikakwambia wewe una maziwa makuu yote nchini kwako yet kuna watu hawana maji alafu unajisifia wakati kuna watu Jangwani wanapata maji which means kulingana na resources zako wewe ni mediocre
Tanzania Ina utajiri gani Sasa kiasi kwamba inaweza kujikuta top 10?
Top 10 ya nini na utajiri ni nini ? Upuuzi ni kutumia yardstick ya mataifa mengine kupima utajiri wa sehemu nyingine kwamba sijui labda mtu akiishi kwa dollar ngapi au akiwa na number E ndio utajiri; sasa kwa perception yako utajiri ni nini ? Dollar ambazo zinatokea USA; au Resources ambazo nchi inazo au maisha ya watu wake ? Sababu katika hivyo vigezo vyote kuna Nchi zina hayo au chini ya hayo na bado watu wake wapo welloff (Sababu tu ya kuweza kumanage resources zao; be it ni watu; natural resources; utalii au skills) kwahio utaona kwamba what is lacking ni management...
Libya ni tajiri na Ina Watu kiduchu.
Libya ilikuwa na mafuta ambayo yaligunduliwa kabla ya Gadaffi hajapindua nchi..., walikuwa wanapata pesa ndogo sana kwa kila barrel of oil; alivyokuja Gadaffi ndio kukawa na hizo changes.., sasa hivi hayupo ni mwendo wa kunyukana.., na kwa mtaji huo huo sababu umesema Libya ni Tajiri je Congo ni Masikini au ni Tajiri ? Sudan ilikuwa Tajiri ? sababu wana natural resources na population density yao ni ndogo sababu hizo ni among biggest countries in Afrika
Gabon haipo kwenye Nchi Tajiri wa Mafuta Afya wanabangaiza kama Uganda.By the way Watu wajinga kama wewe ndio mtaji wa Nchi? 😁😁
Hivi kweli kuna umuhimu wowote wa kuendelea kujibizana na wewe au napoteza muda wangu..., nilidhani nakupa information ili uondoe ujinga (lack of knowledge) ila kumbe wewe ni mpumbavu ambao ni kama urefu na ufupi hivyo huwezi kubadilika
Yes, Gabon has oil. It's a major oil producer in West Africa and is the fifth largest crude oil producer in sub-Saharan Africa. Gabon's oil industry is a key part of the country's economy, accounting for a large portion of its GDP and exports.

Sasa umasikini wake ndio narudi palepale lack of management kama sisi ambavyo kwa resources tulizonazo ingebidi tuwe nchi Tajiri hata top 5 duniani ukizingatia hii ni Cradle of Humanity
Zero brain leta mifano ya Africa sio Japan ,hao walisaisiwa na USA baada ya Vita ya 2 ya Dunia so Wacha ujinga ujinga wako.
Aisee kwahio Japan imefanikiwa sababu ya msaada wa USA ?!!! ili waje washindane nae kwenye Car Manufacturing ? Hivi unajua kuna Kipindi USA ndio alikuwa juu kwenye magari wakaja Toyota kumpiku na their way of cutting costs and JIT (Just in Time) na Total Quality Management (Kaizen) ? Mkuu sio lazima urudi shule tumia muda wako wa ziada kuongeza maarifa kwa kujisomea na sio kucopy na kupaste blog za kibongo bila kuangalia upande wa pili
Mwisho kazi ya kusambaza maji inaendelea pande zote za Nchi,Kila kaya itafikiwa hapa RuvumaπŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DFM38TlM-s5/?igsh=MXI0YzN1em4zYWZoNw==
Samia is doing marvelous work
Kama nilivyosema badala ya kutumia muda wa kuwa cheerleader tumia huo muda kuongeza maarifa.
 
Unabwabwaja kama chiriki,hiyo ratio ya Sasa na zamani Iko wapi Ili tujiridhishe? Kuna miradi ya Msaada hapo au unaropoka tuu? Baadhi ya miradi tena michache ni Mkopo ambao utalipwa.
Hiyo hiyo yardstick ndio kipimo rasmi Cha utajiri hapa Duniani,Tanzania haiko kwenye sayari nyingine.Pamoja na kwamba tuna Rasilimali za Kuunga unga lakini hizo hizo tunazisimamia vizuri na ndio maana miundombinu ya kijamii na kiuchumi inaendelea.
Wangekuwa wanaishi such good life wasingeandamana kumtimua Kwa kushirikiana na Wazungu.Kwa.sasa wako kipindi Cha mpito wako settle mambo yatakuwa kawaida.
Nilikuita au kiherehere chako? Gabon hana tofauti na kina Uganda hana Mafuta yeyote ya kuwepo kwenye top 10,swala la Uchumi wao kutegemea Mafuta Kwa sehemu kubwa ni uamzi wao tuu lakini Wana Rasilimali zingine wanaweza zitegemea.
Sasa umasikini wake ndio narudi palepale lack of management kama sisi ambavyo kwa resources tulizonazo ingebidi tuwe nchi Tajiri hata top 5 duniani ukizingatia hii ni Cradle of Humanity
Kama wao Wameshindwa sisi Tanzania tumeweza.
Walifika huko baada ya kupewa boost na USA then wakasimama wenyewe wakaenda hakuna jipya huko sawa tuu na Germany,Britain wote hao ni Mbeleko ya USA.
Kama nilivyosema badala ya kutumia muda wa kuwa cheerleader tumia huo muda kuongeza maarifa.
Naendelea kukuonesha kazi nzuri inayofanywa na pesa za Kodi ya Tanzania chini ya Serikali ya Samia Kila sekta πŸ‘‡ πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DFPaAaut2hZ/?igsh=d29ncW53cHRpb2Y3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…