Bado tu wananzengo hamjasema ni Gharika la Biriani!?

Bado tu wananzengo hamjasema ni Gharika la Biriani!?

Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2017
Posts
9,758
Reaction score
18,431
Wakuu! [emoji1538]

Huko kwenu wananzengo wanasemaje na hiki kimbunga?, vipi kuhusu Biriani!?

Ila Mtwara wanakata sana mauno japo inategemea Ntu na Ntu

Poleni wanamtwara kwa kutubebea hili la Biriani.
 
Back
Top Bottom