Mgeni wa Jiji JF-Expert Member Joined Jul 27, 2017 Posts 9,758 Reaction score 18,431 Apr 25, 2019 #1 Wakuu! [emoji1538] Huko kwenu wananzengo wanasemaje na hiki kimbunga?, vipi kuhusu Biriani!? Ila Mtwara wanakata sana mauno japo inategemea Ntu na Ntu Poleni wanamtwara kwa kutubebea hili la Biriani.
Wakuu! [emoji1538] Huko kwenu wananzengo wanasemaje na hiki kimbunga?, vipi kuhusu Biriani!? Ila Mtwara wanakata sana mauno japo inategemea Ntu na Ntu Poleni wanamtwara kwa kutubebea hili la Biriani.