Bado tuna safari ndefu kama taifa kwenye timu yetu ya taifa "Taifa Stars"

o_2

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2017
Posts
428
Reaction score
385
Nayeee..

MAshindono kufuzu kombe la mataifa ya Africa, afcon 2025 yanaendelea ikiwa leo ni mechi nyingine tena kwa timu ya taifa ya Tanzania ikitupa karata yake nyingine dhidi ya Guinea.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Nini kifanyike? Mayowe hayatoshi..vitendo hakuna. Miaka kadhaa TFF walipitisha timu mseto waliita maboresho timu ya taifa, wakazunguka mikoa takribani yote lakini mpaka leo hakuna "identify " hakuna utambulisho. Unashindwa kuelewa falsafa ya hii timu ni ipi??

Wakina Samatta na Msuva wanaelekea kumaliza soka lao...lakini huoni watu wanaotengenezwa kurithi. Au tuseme basi kizazi cha mpira wa hii nchi ni kipi?!

Ukisikia watu enzi zetu, enzi zile...aaggh...mpira ni huu huu tokea enzi za Maximo na mexime miaka 10 iliyopita.

Ubora, kelele za Simba na Yanga na Azam zinaendelee kutuponza. Wachezaji wa kigeni wengi, wazawa hawajiwezi.

LEO timu inacheza hauoni ari, kujituma wapo tu wanazunguka tu, hatuna hicho, wala Maxi...leo tumebaki wenyewe.

Aibu!
 
Nayeee..

MAshindono kufuzu kombe la mataifa ya Africa, afcon 2025 yanaendelea ikiwa leo ni mechi nyingine tena kwa timu ya taifa ya Tanzania ikitupa karata yake nyingine dhidi ya Guinea........
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Nini kifanyike? Mayowe hayatoshi..vitendo hakuna. Miaka kadhaa TFF walipitisha timu mseto waliita maboresho timu ya taifa, wakazunguka mikoa takribani yote lakini mpaka leo hakuna "identify " hakuna utambulisho. Unashindwa kuelewa falsafa ya hii timu ni ipi??

Wakina samatta msuva wanaelekea kumaliza soka lao...lakini huoni watu wanaotengenezwa kurithi...
Au tuseme...basi kizazi cha mpira wa hii nchi ni kipi?!

Ukisikia watu enzi zetu, enzi zile...aaggh...mpira ni huu huu tokea enzi za Maximo na mexime miaka 10 iliyopita.

Ubora, kelele za simba na yanga na azam zinaendelee kutuponza. Wachezaji wa kigeni wengi, wazawa hawajiwezi.

LEO timu inacheza hauoni ari, kujituma...wapo tu wanazunguka tu, hatuna hicho, wala maxi...leo tumebaki wenyewe.

Aibu!
Timu ya CCM hiyo, wakishinda utawasikia wanamshukuru mama
 
Mazoezi ya pamoja ya Muda mrefu lakini timu nyingine pia muda ndiyo huo huo ina maana tunatakiwa tumarishe mafunzo ya vijana wadogo
 
  • Thanks
Reactions: o_2
Tatizo ni kwamba Ligi yetu inang'arishwa na wageni.
 
  • Thanks
Reactions: o_2
Kuna watu mnapenda shida.
Jana tulipofungwa nilidhania Guinea, nikabaki kati, mlivyoongeza nikahamia kwenu na maisha yakaishia hapo till next game,, sina muda wa kujipa stress
 
  • Thanks
Reactions: o_2
Back
Top Bottom