Pre GE2025 Bado tunaamini Sugu atamshinda Dr Tulia PhD? Mchungaji Msigwa alipata Vijiji, Vitongoji na Mitaa mingi 2019 kuliko Sugu 2024!

Pre GE2025 Bado tunaamini Sugu atamshinda Dr Tulia PhD? Mchungaji Msigwa alipata Vijiji, Vitongoji na Mitaa mingi 2019 kuliko Sugu 2024!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jinsia yako tafadhali!...
Halafu unaongelea uchaguzi wa aina gani?, huu wa goli la mkono na kwenda maporini na utekaji su unajadili uchaguzi upi?
 
Sugu bora asigombee alinde heshima yake maana hata kula 100 hawezi fikisha
 
Kuna wakati unajishushia sana heshima kwa kusapoti ujinga wa Haina hii yaani uondoe wapinzani alafu unakuja kujisifia. Mungu tusaidie watu weusi. Maana mtu mweusi anamfunga mtu mikono alafu anakwambia pigana kisha anamsifia aliyekupiga.alafu anaenda kwa watu anasema kampiga vibaya sana uku anasahau Kama watu wote wameona yule aliyepigwa akifungwa mikono na huyu huyu anayemsifia aliyeshinda. UPUUZI MTUPU
 
Sugu hana lolote hapo mbeya.yeye aendelee kuvuta bangi zake tu na kunywa makonyagi ila ubunge hapati.
 
Ukiwa serious huwezi wafananisha hawa watu wawili... speaker is far way best than the Sugu. Tena kwa kila kitu, labda ugangstar tu.
 
Nauliza tu kama ile nguvu ya Sugu tuliyoaminishwa anayo kisiasa ndio hii?

Je, atatoboa 2025 Ubunge mbele ya Dkt. Tulia PhD?

Mlale unono
2019 chadema ilisimamisha wagombea? Au Msigwa alikuwa na Chadema yake kule Nchi ya NYASA? Uwe na kumbukumbu hata za kuku zitakusaidia.
 
Back
Top Bottom