johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Gentleman,Nauliza tu kama ile nguvu ya Sugu tuliyoaminishwa anayo kisiasa ndio hii?
Je, atatoboa 2025 Ubunge mbele ya Dkt. Tulia PhD?
Mlale unono
jamaa anajiita yohana mbatizaji 99% ni me.We n "KE" au "ME" ???.... Tuazie hapo kwanza
2019 chadema ilisimamisha wagombea? Au Msigwa alikuwa na Chadema yake kule Nchi ya NYASA? Uwe na kumbukumbu hata za kuku zitakusaidia.Nauliza tu kama ile nguvu ya Sugu tuliyoaminishwa anayo kisiasa ndio hii?
Je, atatoboa 2025 Ubunge mbele ya Dkt. Tulia PhD?
Mlale unono
Kama mihimili Miwili Kati ya Mitatu imeshikwa na Wanawake halafu bado unaishi zama za JinsiaWe n KE au ME ???.... Tuazie hapo kwanza