Bado Waafrika tunawasujudu wazungu bila kujua

neyfento

Senior Member
Joined
Mar 24, 2020
Posts
129
Reaction score
311
Kauli kama hizi znakupa tafsiri gani kchwan????
"Muke ya Muzungu"
"Achana na ngozi nyeupe hizo n level nyingine"
"Kuna raha ya kuchanganya....toto inatoka shombeshombe, inangaa haswaa"
Hebu weka kauli zako ambazo unaamini watu wanatukuza watu weupe ilihali hawaelewi maana dhahiri ya kufanya vivyo.
 
SASA WEWE UNAFANANISHA AKILI ZA WAAFRIKA NA WAZUNGU?

YAANI WASOMI WETU NDIO HAWA:

Prof.Kabudi
Dr. Mwakyembe
Dr.Kigwangala
Dr.Mahera
Dr.Osoro
Dr.Mtokambali n.k

Yaani hizi takataka ndio Afrika zinaheshimika kuwa zimeenda shule....teh teh teh teh

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Angalia kila unacho tumia kimetoka nje, mpaka sahani ya plastic, sticks,Tv, Simu, na kofia hizo za kijani na n.k ...
Kwa hisani ya watu weupe
 
Waafrika n'a watanzania ni washamba WA wazungu ambao ndio walikua wanaua babu zetu n'a bado wanatuua

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Angalia kila unacho tumia kimetoka nje, mpaka sahani ya plastic, sticks,Tv, Simu, na kofia hizo za kijani na n.k ...
Kwa hisani ya watu weupe
Sasa kwani sisi tungeshindwa kufikia hizo level.. Si wametuvuruga elimu yetu n'a sisi tumeikumbatia dini zao

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Kauli kama hizi znakupa tafsiri gani kchwan????
"Muke ya Muzungu"
"Achana na ngozi nyeupe hizo n level nyingine"
"Kuna raha ya kuchanganya....toto inatoka shombeshombe, inangaa haswaa"
Hebu weka kauli zako ambazo unaamini watu wanatukuza watu weupe ilihali hawaelewi maana dhahiri ya kufanya vivyo.
Hizo ni kauli ya mutu asiyejiamini.
Anajiona yuko chini ya kila mutu.
Tumefika majuu nasi tumewadharau na kuwanyanyasa kinamna hao wazungu.
Siri ni kujiamini.
Na unajiamini sana tu kama mfuko wako unatesa.
 
Lisu anakwambia hatuwezi kuishi bila wazungu
 
Kauli kama hizi znakupa tafsiri gani kchwan????
"Muke ya Muzungu"
"Achana na ngozi nyeupe hizo n level nyingine"
"Kuna raha ya kuchanganya....toto inatoka shombeshombe, inangaa haswaa"
Hebu weka kauli zako ambazo unaamini watu wanatukuza watu weupe ilihali hawaelewi maana dhahiri ya kufanya vivyo.
Ndio ukweli,sio Kwamba tunawatukuza,wameishatukuzwa sana na wanajitukuza sana,
UK,Haina mafuta,lakini inakampuni kubwa inayochimba mafuta duniani,BP,Shell,Nigeria ina mafuta kibao,lakini Haina kampuni inayochimba mafuta!mapato yote ya mafuta ya Nigeria ni 20%tu ya watu wake Wananufaika.
Tuje bongo,flyover wamejenga wachina,SGR wanajenga waturuki,Tazara ilijengwa na wachina,miradi mikubwa yote ni makampuni ya nje,sisi hatuna tekinolojia,Wala fedha.
Hata kilimo kimetushinda,Bado tunaagiza sukari na mafuta kutoka nje.
Afrika mashariki na ardhi yote,na maji yote,tunapewa msaada wa chakula na nchi za kiarsbu zilizopo jangwani!!
 
Sisi wenye roho mbaya tunaambiwa tuna moyo mweusi/roho nyeusi
Hata wanao sameheana pia wanaambiana nimekusamehe kwa moyo mweupe

Ukiambiwa yule jamaa anaroho nyeusi Kama yeye alivyo we mwenyewe utajua tu kuwa huyu mwamba anaroho mbaya hata Kama hauna ubaguzi ....
 
Hahahaah...

Hata Shetani tunaambiwa ni Mweusi Tii..
 
Well hiyo ni hali inferiority ambayo tangu wanazaliwa waliaminishwa wao ni wa chini na wao si chochote.

Kuanzia nymbani kwao kwa mzazi wake.
Shuleni kwa walimu wake.
Na kwenye dini pia.

hata ukiangalia vitabu vya dini vyote eti waliotumwa na mungu ni weupe sasa hata dini ina ubaguzi ndani yake still mtu anashindwa kujitambua.
 
Kauli kama hizi znakupa tafsiri gani kchwan????
"Muke ya Muzungu"
"Achana na ngozi nyeupe hizo n level nyingine"
"Kuna raha ya kuchanganya....toto inatoka shombeshombe, inangaa haswaa"
Hebu weka kauli zako ambazo unaamini watu wanatukuza watu weupe ilihali hawaelewi maana dhahiri ya kufanya vivyo.
Mbowe na chama chake ndio wanaowakumbatiwa na mabeberu. Watanzania tuwakatae watu hawa, Oct 28. Hizo kanda wanazogawa, Wanataka kuziuza kwa mabeberu wao.
 
Back
Top Bottom