Kuna tofauti kati ya kupongeza/kusifia na kusujudu.Hivi mtu km amekuzidi kimaendeleo kuna ubaya gani kumpongeza au kumsemea vizuri?
SASA WEWE UNAFANANISHA AKILI ZA WAAFRIKA NA WAZUNGU?Kauli kama hizi znakupa tafsiri gani kchwan????
"Muke ya Muzungu"
"Achana na ngozi nyeupe hizo n level nyingine"
"Kuna raha ya kuchanganya....toto inatoka shombeshombe, inangaa haswaa"
Hebu weka kauli zako ambazo unaamini watu wanatukuza watu weupe ilihali hawaelewi maana dhahiri ya kufanya vivyo.
Sasa kwani sisi tungeshindwa kufikia hizo level.. Si wametuvuruga elimu yetu n'a sisi tumeikumbatia dini zaoAngalia kila unacho tumia kimetoka nje, mpaka sahani ya plastic, sticks,Tv, Simu, na kofia hizo za kijani na n.k ...
Kwa hisani ya watu weupe
Hizo ni kauli ya mutu asiyejiamini.Kauli kama hizi znakupa tafsiri gani kchwan????
"Muke ya Muzungu"
"Achana na ngozi nyeupe hizo n level nyingine"
"Kuna raha ya kuchanganya....toto inatoka shombeshombe, inangaa haswaa"
Hebu weka kauli zako ambazo unaamini watu wanatukuza watu weupe ilihali hawaelewi maana dhahiri ya kufanya vivyo.
Yani kinachotusumbua waafrika ni ushamba wa mzungu.. MHizo ni kauli ya mutu asiyejiamini.
Anajiona yuko chini ya kila mutu.
Tumefika majuu nasi tumewadharau kinamna hao wazungu.
Siri ni kujiamini.
Na unajiamini sana tu kama mfuko wako unatesa.
Wazungu ndio hawawezi ishi bila afrikaLisu anakwambia hatuwezi kuishi bila wazungu
Ndio ukweli,sio Kwamba tunawatukuza,wameishatukuzwa sana na wanajitukuza sana,Kauli kama hizi znakupa tafsiri gani kchwan????
"Muke ya Muzungu"
"Achana na ngozi nyeupe hizo n level nyingine"
"Kuna raha ya kuchanganya....toto inatoka shombeshombe, inangaa haswaa"
Hebu weka kauli zako ambazo unaamini watu wanatukuza watu weupe ilihali hawaelewi maana dhahiri ya kufanya vivyo.
Hahahaah...Sisi wenye roho mbaya tunaambiwa tuna moyo mweusi/roho nyeusi
Hata wanao sameheana pia wanaambiana nimekusamehe kwa moyo mweupe
Ukiambiwa yule jamaa anaroho nyeusi Kama yeye alivyo we mwenyewe utajua tu kuwa huyu mwamba anaroho mbaya hata Kama hauna ubaguzi ....
Mbowe na chama chake ndio wanaowakumbatiwa na mabeberu. Watanzania tuwakatae watu hawa, Oct 28. Hizo kanda wanazogawa, Wanataka kuziuza kwa mabeberu wao.Kauli kama hizi znakupa tafsiri gani kchwan????
"Muke ya Muzungu"
"Achana na ngozi nyeupe hizo n level nyingine"
"Kuna raha ya kuchanganya....toto inatoka shombeshombe, inangaa haswaa"
Hebu weka kauli zako ambazo unaamini watu wanatukuza watu weupe ilihali hawaelewi maana dhahiri ya kufanya vivyo.
Kwahiyo MTU akikuzidi weupe nayo ni mafanikio?Acheni uinga mataga
Hata tupe huo utofauti sasa.Kuna tofauti kati ya kupongeza/kusifia na kusujudu.