Upekuzi101
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 221
- 542
Habari za asubuhi Wana JF,
Mimi ni Mtanzania wa kawaida na kila siku nipo kwenye mizunguko yangu ya kawaida na wadau wangu wapiga debe, mamantilie, machinga, waosha magari na day workers na watumishi wa umma wote.
Kitu nime notice bado watu wanawakubali kwa kiasi kikubwa viongozi walokuwa kwenye Serikali ya JPM, kila kinachofanyika sasahivi kinalinganishwa na awamu ilopita na mwisho inaonekana awamu ya Jpm kukubalika zaidi.
Tuwe tu wakweli wa nafsi zetu, Sukuma Gang ingekuwa Chama rasmi na kikapewa nafasi ya kumsimamisha mgombea Urais let's say Polepole, Bashungwa, Biteko au Bashiru dhidi ya January Makamba, Ridhiwani Kikwete, Nape and or Mwigulu chini ya Tume Huru ya Uchaguzi or kura za wazi, nani anatoboa?