Badoo inanivunjia uchumba wangu

Badoo inanivunjia uchumba wangu

Yamenikuta

New Member
Joined
Jun 10, 2015
Posts
1
Reaction score
17
Kwanza nikiri hii ni ID yangu ya pili kwaajili ya issue hii tu, nisingependa kutumia yangu halisi kwasababu za kibinafsi zaidi.

Nina mchumba wangu tupo kwenye mahusiano kama mwaka sasa unafika na soon tulikuwa tunasubiri jambo fulani ili mwezi wa 11 tufunge ndoa, kimsingi tunapendana sana, sijawahi hata siku moja ku-notice jambo lolote baya kati yetu linaloweza kuleta labda ugomvi na kutokuelewana, tupo vizuri na tunafuraha muda wote.

Kama kuna shida basi ni ndogo ndogo za kupishana kauli kibinaadamu. Kiufupi niseme yaani tupo kwenye pick ya juu kabisa ya mapenzi yetu. Wiki mbili nyuma mshikaji wangu mmoja akaniambia mbona kwenye Badoo naona picha za shemu kabadili jina kidogo, unaruhusu vipi anaingia huko? Sikuamini ikabidi ni download na kuanza kumsearch.

Ilinichukua kama siku tatu kuja kumpata kwenye Badoo na ni yeye kweli katumia jina lake lakini kimadoido. Nikahisi labda kuna mtu anatumia picha zake sio yeye, ingawa simu yake ina password kama yangu nikagundua kweli ameinstall Badoo kwenye simu yake, muda wote huo sijamwambia kitu nachunguza tu.

Nilichokifanya account yangu ya Badoo nikatafuta picha za jamaa wa costa rica sijui nikaziweka kama zangu na jina la uongo naishi mikocheni na ukiona hivi unaona mtu mambo safi. Nikaanza kumchokoza mambo basi tukawa tunachat nikaanza kumchomekea nampenda, nimependa picha zake na ninakaa Masaki.

Jamani wanawake ni wabaya kabisa. Akaanza ooh nina mchumba lakini tufanye siri, mara ananiponda kishenzi eti ndugu zake kama wanamlazimisha nimuoe, basi na mimi namchokonoa tu yaani anafunguka hadi aibu mengine siwezi sema hapa, in short anamaanisha I am nothing at all. Nikamuomba namba akanipa, ila yangu nikamwambia sio vizuri yeye kuwa nayo, Akanipiga mzinga wa elfu 50 nikamtumia fasta kwa kibanda ya mpesa ndio nikamchanganya kabisa.

Tukaendelea kuchat nikamuomba anitumie picha, namsifia kila ninacho mwambia natamani nione anajipiga ananitumia, jamani hizo picha unaweza kulia ukajiua, mtupu kama alivyozaliwa, mara apige k picha, mara maziwa yaani hakatai kitu, nikamuomba picha ya bwana wake akanitumia jinsi alivyo mshenzi, nikimsifia mbona handsome anaponda kinoma.

Naitwa majina yote matamu duniani hadi najionea wivu mwenyewe, kila nikiingia nakuta meseji kibao yaani ni i miss u, i cant wait to xxx with u. U have sex body nk nk. Kufikia hapo nikajua mchumba tena sina lakini nikasema ngoja niendelee kumpima, nikamchomekea mambo ya tigo akaruka sijawahi na sipendi, nikaanza kumchombeza nanini heee akaniambia labda atajaribu mara moja tu lakini anasikiaga inauma na nisi pizi ndani maana manii yakiingia eti atakuwa anawashwa na atakuwa anataka kila siku kuliwa tigo khaa!.

Wiki iliopita nikamtumia elfu 20 nikamwambia saa kumi kamili aje Sinza Hotel fulani atanikuta nimechukua chumba kabisa, nitakua namsubiria kaunta ya baa chini, mimi nikaenda nikabana sehemu, akaja hadi kaunta akakaa we simu yangu hana sasa, nikamtumia tu meseji Badoo kwamba baby sorry vikao vimenibana sana sitaweza kuja ndio akaondoka. Jamani niliumia sana sana lakini sasa roho imeisha kubali, hata kama kuchepuka lakini sio kule jamani, mtu hata humjui.

Na je huko Badoo kashatongozwa na kugongwa na wangapi, maana Badoo ni kujiuza tu hakuna friends wala followers kule, wewe unatupia picha unasubiri atakayekolea mnaanza chat. Amenidhalilisha sana sana jamani, sijawahi kumkosea lolote hadi anivue nguo vile mbele ya mtu hata asiyemjua na anavyojua kujipretand sasa, nimuulize ulikuwa wapi yaani majibu anayonipa yananipa picha ndio hunidanganya hivi kila siku.

Hadi sasa sijamwambia na sijui nifanyeje lakini mimi na yeye basi maana sasa ni wiki hata hisia sina tena mzee hashtuki kabisa mpaka ananiuliza kunani? Namjibu naumwa tu. Nataka nimfanyie kitu mbaya, hizo picha za uchi atazisoma mitandaoni na kwa shigongo na itakuwa mwisho wetu. Na sitakaa nimwambie ni mimi nilikuwa nachat naye nitaacha picha ziongee.

Naomba maoni yenu wadau
 
Pole kwa yalokukuta ila samehe na anza upya ya nin malumbano msamehe na msahau. Bila ya hivyo utakuwa unajitesa ww maishan mwako kwanin akutese na w.wke wapo kibao wanaokutaman? Sahau mkuu na msamehe yaishe anza namba moja hutajuta maishan mwako
 
Hakuna alietulia ndg yangu hao viumbe ndivyo walivyo. Maadam Mungu kakufunulia uchafu wake mapema basi huna budi kumpiga chini.

Jipe muda wa kutafakari kwanza usikimbilie kuingia kwenye mahusiano haraka na huu ndo muda muafaka wa wewe kutafakari namna nzuri ya kuboresha maisha yako kuliko kupoteza muda mwingi ukifikiria namna mlivyospend moments or even cash payout kwajili ya huyo binti.

Umiza kichwa kutafuta pesa mkuu mapenzi waachie njiwa!
 
Duuh! Ya leo kali wapi MankaM uje huku, ila usiwaze kumfanyia jambo baya mpe ukweli afu we angalia maisha tuu mkuu bora umejua mapea anakupotezea muda.
 
Nmependa responce ya jamii cnka mkuu leave that sh☆t and walk out BT ukwel lazma aufahamu ila kwanini hyo 071@ usiile ebu piga hyo kitu mkuu kaniuz Sana jinga sana
 
Thread kama hizi huwezi kukuta mdada anachangia...yaani wanasoma na kupita kimya kimyaa..kama hawapo vileeee.....hawa viumbeee dah acha kabisaa! By the way, usisambaze picha zake. Nakushauri tafuta sehemu iliyotulia ya wazi kabisaa....

Mwambia una story naye...vaa sura ya kazi..kisha mpe ukweeli wote A to Z. na mwambie yeye na wewe ndio bye bye...asikujue na wala hutamjua tena....kisha nyanyuka sepa...usimpe nafasi ya kuongea...wala kuona machozi yake. Chukua usafiri wahi home. Hata kuja kukusahau hadi siku ya mwisho.
 
Back
Top Bottom