Badoo inanivunjia uchumba wangu

Most of us women, tumeweka pesa mbele na kusahau thamani ya miili yetu. Really usipokuwa mwaminifu kwa mpenzio utajikuta umekuwa kama choo cha kulipia. Mimi sio msafi but baadh ya wanawake wanatia kinyaa,wanafanya papuch zao kitega uchumi cha kupata hzo elf 10,10 ambazo hazina faida. Pia smtimes huwa tunawalaumu wanaume bt real smtimes huwa tunatafutaga maafa wenyewe, sa hyo mipicha ya uchi aliyotuma kwa unknown yakisambaa mtandaoni huyu kijana atalaumika? Anyway! Ndugu yaliyokukuta usimbebe huyo manzi moyoni, let her go and when tym come u'l find Love, the true one na jeraha yako itapona. Pole
 
Mi sishauri hizo picha uziweke mitandaoni maana mwisho wa siku nawe utaumia sana ukiwa unazid kuziona. Once picha zikishaingia kwenye mitandao kuzitoa ni uongo. Pili mtafute umwambie ukweli ajue alilolifanya then usepe zako. Utakua na aman sana moyoni na yeye atajiona ----
 
Jamaa yangu usiwe ----- hizo picha zisambaze yani kakupotezea muda wako, ela zako acha ujinga wee jamaa
 
Pole kwa yalokukuta ila samehe na anza upya ya nin malumbano msamehe na msahau. Bila ya hivyo utakuwa unajitesa ww maishan mwako kwanin akutese na w.wke wapo kibao wanaokutaman? Sahau mkuu na msamehe yaishe anza namba moja hutajuta maishan mwako

ndugu, uko siriasi kweli? au unatania
 
Tatizo sio kujua ukweli ila tatizo ni kuweza kuuvumilia huo ukweli ?

kwanini umpime ?
je unaweza kumuacha ?
kama wewe ulimtongoza akakukubalia kwa nini awakatalie wakimtongoza wenzio ??

Aiseeee ndio mana nilikumiss haki ya Mungu
 
duuh! Ya leo kali wapi MankaM uje huku, ila usiwaze kumfanyia jambo baya mpe ukweli afu we angalia maisha tuu mkuu bora umejua mapea anakupotezea muda.

Enhee nipe habar sunola nimeitikia wito
 
Last edited by a moderator:

Aiseeee unausemea moyo ujue what if jamaa bado anamkubali huyo binti??? any way ni ushaur tu ameupata
 
Pole sana Yamenikuta, huu mkasa unatukumbusha kuwa makini kabla hatujaamua fufanya commitment yoyote na wenza.Suala unalopaswa kuelewa ni kwamba wanawake wanatongozwa kila uchwao,hili halizuiliki lakini suala la mwanamke kumkubalia kila mwanaume anayemtongoza na hukua akijua ana uhusiano na mwingine ni jambo jingine.

Najua umepitia wakati mgumu sana,kwa uliyoelezea kuna wanaume wengine hawana moyo wa kuyavumilia,lazma wangeshafanya jambo baya.

Cha msingi achana na huyo dada katika hali ya amani na heshima,usipende kumvunjia heshima kwa kusambaza picha zake za tupu( Sasa hivi kuna sheria za makosa ya mtandano,unaweza kujikuta unaishia jela.)

Fanya hivi: Endelea kuchati naye na mpange siku ya mgegedo.Wewe tangulia ndani ya room huku ukimsubiri aje.Acha mlango wazi ili akifika mwambie aingie moja kwa moja.Akishangia najua akikuona atashangaa na anaweza kuchanganyikiwa.Usimdhuru kwa namna yoyote.

Kaa naye umuelezee stori nzima kuanzia kugundua yupo Badoo na mlivyokuwa mkichati etc etc.Muoneshe picha zake zote za uchi,mkumbushe alivyokuwa akikuponda kwa mchizi fake. Ukimaliza hayo yote ondoka zako na umuache.

Kwa kufanya hivyo naamini utakuwa umetumia busara,sijui kama atakutafuta tena.
 
Last edited by a moderator:
Mtumie tena pesa kisha mpe ahadi nyingine ya kukutana guest, wewe nenda kabane pale pale pahala,mwambie achukue room ajiandae wewe uko njiani,akupe na namba ya room kabisaa,akifika na kuchukua room aku-inform,kisha ingia room,mpe salamu mwambie baby nimefika ila nimepigiwa simu kuna dharura imetokea,kisha sepa muache akitahayari. Hapo atakuwa amejifukuzisha mwenyewe. Huyu ni chui kwenye joho la kondoo,atakuua huku akicheka.
 
kama unataka stress maishani mwako basi endelea kuwa nae, ushauri wangu ACHANA NAE
 
Mkuu Yamenikuta Pole sana.

Kati ya vitu nachoweza kusema mabinti/wadada wa siku kinacho waharibu ni curiosity. Hapa hata kama awe mchumba wako, mkeo(tema ndoa changa), ndoa ya muda mrefu n.k wote hufanana(i stand to be corrected).

Back to the topic; Binafsi ningekushauri kuachana naye(tactical). Sijui kama mnaishi naye au mnaishi sehemu mbili tofauti. Kama hamuishi pamoja ni vyema zaidi (simply ahamishe vitu vyake kama vipo) then achana naye. Ni lazima atataka kujua sababu, mueleze simply hujaridhishwa naye! Akileta ubishi then mueleze mkasa mzima(though anaweza aka_pretend alikuwa anakujua ni wewe ndiyo maana akatuma na picha, maana hawa viumbe)?

Endelea na maisha yako hila kumshirikisha, lakini utapohitaji tena kuwa katika mahusiano ambayo unadhani unahitaji kuoa, don't rush just in a year or so kwamba umuoe hinto/mdada! Kuna watu wanajua kuigiza mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana kaa chini mwambie kosa lake den chukua hatua,km ukiona sawa ubaki nae haya ,ukiona hakufai sawa,ila usisambaze pcha zake
 

mkuu hao ndio wanawake sasa tulioambiwa kwenye BIBLIA tuishi nao kwa akili sana.pole sana i felt the pain.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…