Mkeshahoi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2009 Posts 2,469 Reaction score 284 Sep 13, 2010 #1 nimeizoa toka Redio flani... ni mfano wa pati ya jiko(kitchen party), kwa ajili ya kuwafunda madume yanayotarajia kuoa...!! Je..kitu hyo yahitajika au ndo ujasiriamali? Ni kitu gani walume wanaenda kufundwa?... Weledi wa mambo nijuzeni plz!!
nimeizoa toka Redio flani... ni mfano wa pati ya jiko(kitchen party), kwa ajili ya kuwafunda madume yanayotarajia kuoa...!! Je..kitu hyo yahitajika au ndo ujasiriamali? Ni kitu gani walume wanaenda kufundwa?... Weledi wa mambo nijuzeni plz!!