Bagamoyo DC wa ajabu kabisa.

Naju23

Member
Joined
Jul 25, 2024
Posts
47
Reaction score
77
Swali kidogo.

Hawa viongozi wanamatatizo.

Unamuwakilishaje Mama Samia kwa dc wa aina hii.

Kama ni uteuzi wa kujuana sawa. Hivi hakuna vijana wenye hekima?

Au ndio kuzidiana Dumba?

Asilimia kubwa ma RC hawana tatizo..upande wa ma DC inanishangaza, hivi vetting zinavamiwa?

My take
Mnamdhalilisha Mh Rais.
 
Haya Dc wa bagamoyo kafanya mbwai kwanza?
 
Hao ni chawa wa Mama kutoka UVCCM!!
 
Amefanya nini?.
Siku hizi mnabahati sana na hii jf ya sasa mtu unapandisha bandiko halina kichwa wala miguu, na lipo mpaka sasa, enzi zile, bandiko kama hili linafyekelewa mbali dakika sifuri!
P
 
Kwani kafanya nini mkuu? Hebu lete clip tumsikie. Umeandika kwa ufupi sana.
 
Hivi Mods andiko kama hili linastahili kuwamo ktk chombo hiki bora kabisa?
Bandiko halina uso wala kisogo.
Mods, kweli? Kweli?
Iko wapi ile Jf ya GT??
 
Mkuu unaandika kama sisi wote tunamfahamu huyo DC.
Andika vile vile kile kinachokusumbua hadi ukandika mada.
Kwani hajamuwakilisha mama kwa lipi tena.
Punguza munkari andika kwa vituo ili watu wajue unakoelekea.
 
Huyo ni bi mdogo wa Bulembo!! Elewa ni bi mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…