Funa the Wild
Senior Member
- Aug 1, 2022
- 167
- 282
Karibu kwenye safari ya kusimumua ya kutembelea fukwe za, The Horizon ndani ya mji wa Bagamoyo ikiambatana na kusherehekea sikukuu ya Christmas, ikitukutanisha wadau kutoka kona mbalimbali. Ikiambatana na kufanya Utalii wa ndani kwa kuzungushwa na Boat na shughuli lukuki za Kitalii.
Shughuli zitakazofanyika:-
Zipline || Paintball || Boat Safari🛥️ || Swimming 🏊🏼♀️|| Yoga || Photo shoot📸 || Beach games || Entertainment🎼
Gharama (Tsh)
▪️Single, 90,000/=
▪️Double, 170,000/=
▪️Child, 70,000/=
Zinahusisha
▪️Usafiri kwenda na kurudi
▪️Nyama CHOMA
▪️Vinywaji
▪️Gharama za Boat
M-PESA LIPA NAMBA
NAMBA: 36972141
JINA: WILDLIFE AFRICA SAFARIS
Itaanzia: Mlimani City, Dar es Salaam
Mawasiliano
📱 +255753651935