sobber
Member
- Nov 7, 2012
- 17
- 1
- Hekima ingehitajika sana kutatua mgogoro baina ya walimu na mkuu wa shule-kutojali maisha binafsi,familia za walimu
- mgogoro baina ya wanafunzi wote na mkuu wa shule-mkuu washule kuwakumbatia wanafunzi, ambao baadae hugeukana
- mgogoro kati ya mkuu na bodi ya shule-utendaji usioaminiana, mkuu wa shule kujiona mjuaji
- mgogoro kati ya mkuu wa shule na idara za elimu-wilayani-nani zaidi ya nani.
- mgogoro baina ya walimu na ofisi ya DEO-kuchana barua za walimu kwenye mafaili/majarada yao/ walimu,
- msihangaike kupeleka tume dhaifu kuchunguza, peleka wataalam.