Bagamoyo isaidiwe na wenye hekima

sobber

Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
17
Reaction score
1
  • Hekima ingehitajika sana kutatua mgogoro baina ya walimu na mkuu wa shule-kutojali maisha binafsi,familia za walimu



  1. mgogoro baina ya wanafunzi wote na mkuu wa shule-mkuu washule kuwakumbatia wanafunzi, ambao baadae hugeukana


  1. mgogoro kati ya mkuu na bodi ya shule-utendaji usioaminiana, mkuu wa shule kujiona mjuaji


  1. mgogoro kati ya mkuu wa shule na idara za elimu-wilayani-nani zaidi ya nani.


  1. mgogoro baina ya walimu na ofisi ya DEO-kuchana barua za walimu kwenye mafaili/majarada yao/ walimu,



  1. msihangaike kupeleka tume dhaifu kuchunguza, peleka wataalam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…