Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanafunzi wa shule ya secondary Bagamoyo wamefunga shule kwa muda usiojulikana,,,
chanzo kikubwa ni suala la udini", ukristo uisilam"
hivi pale shuleni kulikuwa na wakristo na waislamu pekee.
naamini kuna wasio na dini, walevi, wavuta bangi nk
kwa maono yangu tumefikia hatua ya kuua nzi kwa nyundo.
viongozi wetu wavivu wa kukabiliana na changamoto za vijana.
kufunga shule kwa kisingizio cha kuepusha uharibifu hakutatui tatizo
ilkuwa ni kukabilian uso kwa uso na wachafuzi wa amani ili waso husika waendelee na kilichowapeleka shule.
je, waso husika watafidiwa vipi muda wao unaopotezwa ktk kupata elimu walyokusudia.
tuache siasa kwenye utawala.
waislam hawajazoea kusoma.. Nakumbuka wakati mm nikiwa o level Minaki waislam walileta vurugu ..wakahamishwa hamishwa wote
tafuta thread 2 zilizopita kuhusu vurugu za shule hiyo humu ndani then urudi hatuwezi kukutafunia hii ni thread ya tatu leo kama unataka kujua fata hayo hutaka basiIli habari ikamilike, naomba mtoa habari au mtu yeyote yule ajibu maswali yafuatayo:
Je hiyo shule imefungwa lini? Je imefungwa na nani? Je kuna sababu gani za msingi? Je mitihani ya Kidato cha Pili itafanywaje? Naona umeandika kwa sababu ya udini, hii haijitoshelezi.