Bagamoyo kimenuka!

mnoel

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
211
Reaction score
98
wanafunzi wa shule ya secondary Bagamoyo wamefunga shule kwa muda usiojulikana,,,
chanzo kikubwa ni suala la udini", ukristo uisilam"
 
Hayo ndiyo matokeo ya mbegu zilizo pandwa huko nyuma.
 
Sasa kimenuka nini?
Msipende kukuza habari za udini! Hii habari ipo tokea jana.
 
uislam na ukristo umefanya nini? walikuwa wanataka nini?
 
wanafunzi wa shule ya secondary Bagamoyo wamefunga shule kwa muda usiojulikana,,,
chanzo kikubwa ni suala la udini", ukristo uisilam"

Mkuu, habari haijitoshelezi..

Ofcourse watakuwa wana dini zao, sasa udini wa kina nani na kwa namna gani? wale wasiokuwa na dini?
Chanzo?
 
hivi pale shuleni kulikuwa na wakristo na waislamu pekee.
naamini kuna wasio na dini, walevi, wavuta bangi nk

kwa maono yangu tumefikia hatua ya kuua nzi kwa nyundo.

viongozi wetu wavivu wa kukabiliana na changamoto za vijana.

kufunga shule kwa kisingizio cha kuepusha uharibifu hakutatui tatizo

ilkuwa ni kukabilian uso kwa uso na wachafuzi wa amani ili waso husika waendelee na kilichowapeleka shule.

je, waso husika watafidiwa vipi muda wao unaopotezwa ktk kupata elimu walyokusudia.

tuache siasa kwenye utawala.
 
weka habari iliyokamilika...
 
waislam hawajazoea kusoma.. Nakumbuka wakati mm nikiwa o level Minaki waislam walileta vurugu ..wakahamishwa hamishwa wote
 

wavuta bangi wa kiislam walikuwepo pia na waki kristo.. Hawa watoto hawataki shule and nothing else.. Na mkuu wa wilaya ni kilaza kapewa cheo kwa upendeleo tu. Angekuwa makini haya yote yasingetokea
 
waislam hawajazoea kusoma.. Nakumbuka wakati mm nikiwa o level Minaki waislam walileta vurugu ..wakahamishwa hamishwa wote

ueleweki hao waliamishwa ni makafiri km ww!!!
Chuki iliyopandwa na nyerere dhidi ya uislam ndio inatupeleka kuzimu wa tz
 
Ili habari ikamilike, naomba mtoa habari au mtu yeyote yule ajibu maswali yafuatayo:
Je hiyo shule imefungwa lini? Je imefungwa na nani? Je kuna sababu gani za msingi? Je mitihani ya Kidato cha Pili itafanywaje? Kwa hiyo ndani ya siku mbili shule mbili zimefungwa huko Bagamoyo? Nasema hivyo kwa kuwa shule ya Magambani ilifungwa jana. Naona umeandika "kwa sababu ya udini", hii haijitoshelezi.
 
tafuta thread 2 zilizopita kuhusu vurugu za shule hiyo humu ndani then urudi hatuwezi kukutafunia hii ni thread ya tatu leo kama unataka kujua fata hayo hutaka basi
 
Kama ni hivyo, yafaa hii post iunganishwe na ile iliyopita. Hakuna haja ya kuwa na post kadhaa, hususani mpya, zinazoongelea kitu kimoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…