D DAVIES JF-Expert Member Joined Nov 21, 2011 Posts 516 Reaction score 90 Jan 11, 2012 #1 Jamani mwenye taarifa zozote kuhusu nafasi za kazi bagamoyo research and training unit anijulishe
P pufray Member Joined Nov 2, 2011 Posts 10 Reaction score 0 Jan 11, 2012 #2 We unauliza kama kuna nafasi za kazi au una uhakika zipo wataka ujue jinsi ya kuzipata?
D DAVIES JF-Expert Member Joined Nov 21, 2011 Posts 516 Reaction score 90 Jan 11, 2012 Thread starter #3 nasikia zimetoka ila kwenye mtandao sijaliona so kama una taarifa zozote nijulishe please
Bumpkin Billionare JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 1,332 Reaction score 621 Jan 11, 2012 #4 DAVIES said: Jamani mwenye taarifa zozote kuhusu nafasi za kazi bagamoyo research and training unit anijulishe Click to expand... M-PM Malaria Sugu atakuwa anahusika
DAVIES said: Jamani mwenye taarifa zozote kuhusu nafasi za kazi bagamoyo research and training unit anijulishe Click to expand... M-PM Malaria Sugu atakuwa anahusika
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,649 Jan 11, 2012 #5 ​kuna thread humu ina hizo kazi hebu cheki