Bagamoyo port construction censured

Bagamoyo port construction censured

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,801
Tue, Apr 9th, 2013

Tanzania

Zanzibar Revolutionary Government has been advised to convince their counterparts in the mainland to stop Bagamoyo port construction and instead build it in Zanzibar.

An aerial view of Dar es Salaam port, whose limitations stakeholders hope the new Bagamoyo port will replace.

Since we are true brothers with Tanzania mainland, Bagamoyo project should be halted and instead be constructed in Zanzibar Omar Ali Shehe (CUF-Chakechake) suggested.

Mr Jaku Hashim Ayoub (CCM- Muyni) also raised his voice asking why there have been delays to construct a new port at Maruhubi (Mpiga Duri) in Zanzibar to replace the current Malindi Port which is overwhelmed with activities.

Mr Ali Salim Haji (CCM-Kwahani) asked in the House why the government has not increased equipment at the port for efficiency, while Zanzibaris wait for the proposed new port.

Responding to the questions, the Deputy Minister for Infrastructure and Communications, Mr Issa Haji Ussi, said although ports are union matters, each country in the Union enjoys its liberty in ports business, calling on Zanzibaris to work hard in construction of their own new port.

He said that Zanzibar was working hard by discussing with emerging development partners who are showing interest to support the constructions of the new port.

By ISSA YUSSUF, Tanzania Daily News
 
Hypocrisy sometimes kills the messenger!!!
 
Sasa hii ikiwa cancelled hata yale ya kawe na mengine yote tutashindwa kuamini.
 
Bandari ya Bagamoyo inaleta laana ya 'Rais mchumia kwao', sasa itakuwa wazi kwa kila Rais kuchumia kwao pasi kificho. Heri Wazanzibar wajiunge OIC maana ubinafsi unatutafuna Wabongo!
 
Kwani wao hawawezi kujenga bandari yao?

Hakuna cha undugu. Bandari ijengwe Bagamoyo. Dar haitoshi.
 
Wawaambie wachina wauchane ule mkataba waliosaini na jk, halafu wasaini mwengine wa kujenga bandari zanzibar.
 
Wanaendelea kutoa hoja zisizo na mashiko na ili ziwe sababu na visingizio vya kuwezesha kuvunjika kwa muungano.serekali ya china ndio wawekezaji na wana uhuru wa kuchagua sehemu yoyote kujenga hiyo bandari.uwekezaji ni biashara hivyo lazima waangalie sehemu ambayo wameshajua itawalipa zaidi.na hata kama ni msaada lazima basi huo msaada uwe eneo ambalo utaweza kuwafikia watu wengi zaidi na kwa urahisi.

Matatizo ya Waheshimiwa wabunge wetu wengi ni ukosefu wa elimu ya kutosha na upeo unaotakikana ili nchi ipate maendeleo. Tunachagua wabunge mambumbumbu halafu tunatarajia maendeleo.

Ni muhimu kwa vyama vya siasa kuanza utaratibu wa kupitisha majina ya wagombea nafasi za ubunge kwa kuweka vigezo ambavyo vitakuwa vina manufaa zaidi kwa wananchi na maendeleo ya nchi endapo huyo mgombea wao atachaguliwa na wananchi.kwa mfumo uliopo ni kwamba wananchi tumekuwa hatuna nafasi ya kuchagua mbunge(mwakilishi) wetu tunayemtaka bali tumekuwa tu tanachagua mbunge aliyepitishwa kwa kufuata utaratibu na kanuni za chama chake.

Hivyo ni muhimu kwa vyama vya siasa kupitisha mgombea kwa vigezo ambavyo vitakuwa na manufaaa kwa watanzania na sio manufaa kwa baadhi viongozi au members wachache wenye jukumu la kuwapigia kura hao wawakilishi wa vyama vyao.Mungu azidi kuwabariki wote!
 
Yaani bandari ijengwe Znz?

Ina maana matani kwa matani ya bidhaa yaletwe kwa meli, yashushwe kwanza Znz then yapakiwe tena kwenye meli kwenda nchi watumiaji ambazo nazo pia zina bandari sasa hii si duplication kwa mantiki ipi ifanyike? kwa nini mzigo usiende moja kwa moja?

Halafu kuna habari humu ndani kuwa mabadiliko ya tabia nchi yana athari zaidi huko visiwani, sasa long term projects kama bandari na uncertainity due to global warming inakuwaje?
 
It is better to choose the lesser evil!!!! Bagamoyo is much better than Zanzibar!!
 
Back
Top Bottom