G
Hahaha sawaKibaha
Usiniulize sababu maana mi nipo tukuyu.
aende Kibaha badala ya Bagamoyo kwa sasa.KIBAHA AU BAGAMOYO?
MIAKA 5 IJAYO KUANZIA SASA WAPI KUNAWEZA KUWA HOT?
Sawaaende Kibaha badala ya Bagamoyo kwa sasa.
Mfipa wanajenga njia 6 au 8 ??Njoo Hapa Kwa Mfipa Ule Maisha
Taratibu Huku Unapiga Mruzi
Chap Dar Njia 6 Unanusa
Niliwahi kutembea mitaa ya kule GalagazaNjoo Hapa Kwa Mfipa Ule Maisha
Taratibu Huku Unapiga Mruzi
Chap Dar Njia 6 Unanusa
Du aiseeeKibaha
Usiniulize sababu maana mi nipo tukuyu.
Karibu ChalinzeUkipata nafasi ya kumshauri mtu kununua kiwanja/viwanja kati ya Bagamoyo road vs Morogoro road, utamwambia aende wapi?
KIBAHA AU BAGAMOYO?
MIAKA 5 IJAYO KUANZIA SASA WAPI KUNAWEZA KUWA HOT?
Huko Kigamboni siyo Tanzania waachieni wapembaKwa nini isiwe Kilwa road au Mwalimu Nyerere road?
Kama vipi nenda kigamboni huko
AhsanteKaribu Chalinze
kote ni big dealUkipata nafasi ya kumshauri mtu kununua kiwanja/viwanja kati ya Bagamoyo road vs Morogoro road, utamwambia aende wapi?
KIBAHA AU BAGAMOYO?
MIAKA 5 IJAYO KUANZIA SASA WAPI KUNAWEZA KUWA HOT?
kibaha ipiaende Kibaha badala ya Bagamoyo kwa sasa.
Kibaha kwa mfipa ipo halmashauri au manisapaa ?kibaha ipi
kuna
kibaha halmashauri ya wilaya
kibaha manispaa
Manispaa.Kibaha kwa mfipa ipo halmashauri au manisapaa ?
Sawa,Manispaa.
Kibaha Manispaa inaanzia eneo la miwaleni kuja madafu hadi maili moja kama unafuata uelekeo wa Morogoro road.