Bagamoyo Road au Morogoro Road: Wapi bora kununua kiwanja?

Ulinunua 600k umeuza 20M au ilikua hekari ?
 
Kule alikojenga Dr chenza.... kasomba heka 100+
ndiyo mkuu kule ardhi ni cheap sana. 50*100 kama ni kiwanja unapata kwa 3m
na kama ukohitaji pori unaweza pata 60k hadi 100k kwa hekari moja, bei hutofautiana kulingana na eneo mf eneo lenye vyanzo vya maji bei inakuwa juu kidogo.
 
Penda

Mkuu mimi nataka sana ila sijui napataje kama una weza niongoza nisaidie tu kwakweli nahtaji pori langu zuri Maji nitajichimbia maana hata ivyo kule WATER TABLE yake ipo juu sana.

Kisima cha mashine sidhani kama kitazidi 7m..sidhani

Tafadhali mkuu naomba kama kuna yeyote/mwenyeji umjuae kule niunganishe nae niende nahtaji Eneo kwakweli.
 
Nitaenda next weekend kuonana na mwenyeji wangu alafu nitakufata dm kwa mawasiliano zaidi.
 
ndiyo mkuu kule ardhi ni cheap sana. 50*100 kama ni kiwanja unapata kwa 3m
na kama ukohitaji pori unaweza pata 60k hadi 100k kwa hekari moja, bei hutofautiana kulingana na eneo mf eneo lenye vyanzo vya maji bei inakuwa juu kidogo.
Huku panaitwaje aisee. naomba jina.la hii sehemu
 
Nyie vijana huko Kibaha tangu miaka ya 90 tulikuwa tunasema patakuwa Hot, ila hadi leo hapaeleweki.
Viwanja bado vipo vingi mjini acheni uoga wa maisha, kununua kiwanja na kujenga nje ya mji hizo ni akili za uoga na kizee, na mwisho wa siku unatumia pesa nyingi kwenda mjini kazini kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…