menny terry
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 509
- 670
Ebu nenda Mbagala ya sasa, ni kama Ulaya, najua utadhania utani, barabara nzuri sana mpya na inaendelea kujengwa, kituo kikubwa cha mwendo kasi, viwanda, etc..Wakuu,
Mtakubaliana Nami kuwa Bagamoyo Road Kwa kipindi kifupi imebadilika sana kutoka kuwa kibarabara kimoja mpaka kuwa barabara kubwa iliyosheheni makao makuu ya makampuni makubwa ya mawasiliano Tanzania. Makampuni yote kuanzia TIGO, VODACOM, HALOTEL , TTCL Na AIRTELL lakini pia kuna makao makuu ya kitivo cha COET sehemu ya chuo kikuu cha Dar es salaam. Ukifika pale Bamaga maeneo ya sayansi kuna Start up nyingi sana zinakuzwa. Lakini pia mtumdikano wa ma bank Na taasisi za fedha kwenye hii barabara kuna ifanya kuwa ya kipekee kabisa Tanzania. Je huenda Sillicon Valley ikazaliwa hapa nchini?
Nawasilisha.
Ebu nenda Mbagala ya sasa, ni kama Ulaya, najua utadhania utani, barabara nzuri sana mpya na inaendelea kujengwa, kituo kikubwa cha mwendo kasi, viwanda, etc..
Dar inakuwa sana, ukija Njia ya Morogoro Road, hasa kuanzia Mfugale Interchange hadi Kibaha kama Marekani vile, 8 ways, yaani 4 kwa 4, na bado haijakamilika, ila Sura ya Dar itavutia sana
Sillicon valley ama Posta inayochangamka?.