mwaipembe Member Joined Aug 8, 2011 Posts 93 Reaction score 23 Oct 1, 2011 #1 wana jf naomba kujuzwa kam bagamoyo university walishaita watu kwenye interview.nashukuru kwa ushirikiano wenu
wana jf naomba kujuzwa kam bagamoyo university walishaita watu kwenye interview.nashukuru kwa ushirikiano wenu
KANCHI JF-Expert Member Joined Sep 3, 2011 Posts 1,532 Reaction score 230 Oct 1, 2011 #2 M2 wangu bado cjackia please can we continue waiting.
F fukunyungu JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 717 Reaction score 194 Oct 1, 2011 #3 mwaipembe said: wana jf naomba kujuzwa kam bagamoyo university walishaita watu kwenye interview.nashukuru kwa ushirikiano wenu Click to expand... Hv kuna chuo cha hivyo? Lol
mwaipembe said: wana jf naomba kujuzwa kam bagamoyo university walishaita watu kwenye interview.nashukuru kwa ushirikiano wenu Click to expand... Hv kuna chuo cha hivyo? Lol
KANCHI JF-Expert Member Joined Sep 3, 2011 Posts 1,532 Reaction score 230 Oct 1, 2011 #4 Ama kweli we ni fukunyungu kweli !! maneno yako yamesadifu mpaka jina lako so...................
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,767 Reaction score 6,575 Oct 1, 2011 #5 fukunyungu said: Hv kuna chuo cha hivyo? Lol Click to expand... nenda kwenye web ta tcu utakiona..
only83 JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 5,343 Reaction score 2,527 Oct 3, 2011 #6 fukunyungu said: Hv kuna chuo cha hivyo? Lol Click to expand... Mkuu wa chuo msaidizi ni Dr Sengondo Mvungi...
fukunyungu said: Hv kuna chuo cha hivyo? Lol Click to expand... Mkuu wa chuo msaidizi ni Dr Sengondo Mvungi...