KERO Bagamoyo; Wakazi wa Kiromo kitongoji cha Migude hatuna umeme mwezi wa pili huu baada ya Transfoma kuharibika, TANESCO wanasema watashughulika

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Transfoma limeharibika kila ukipiga simu wanasema wanashuhulikia, ndio mwezi mzima?

Tafadhali Tanesco kanda ya Pwani tuooneni huruma miradi inakufa maisha yanakuwa magumu, karne hii bila umeme ni changamoto.

Wadau huwa mnafanyaje ili Tanesco wawa shughulikie mepema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…