Bagia za dengu maziwa na mayai

Bagia za dengu maziwa na mayai

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
ephen_ aliomba nimuonyeshe jinsi ya bagia za dengu zinavyo pikwaa

Nilikuwa na shughuli za hapa napale uku naangalia mpira wa yanga tukashinda uku nanyoosha



Nikawa nawaza chakula jion nikaona bagia kivile ni nyepesi kupika basi nipike
Nikaandaa karoti na hoho
1739811654506.jpeg

Kisha nikachukua unga wa bagia nikaweks kwenye chombo
1739811724265.jpeg

Baada ya hapo nukaweka karoti na hoho na kuchanga vizuri
1739811773975.jpeg

Kisha weka maji kidogo kidogo uji wako hakikisha uji wako haui mzito sana wala mwepesi sana kama hivi
1739811886439.jpeg

Kisha weka kwenye mafuta tia kidogo kidogo mimi nilitumia kijiko wengine wanatumia mkono kuweka kwenye mafuta moto weka mdogo kabisa ziive pole pole
1739811962958.jpeg

Baada ya hapo nikachemsha maziwa na mayai sehemu mbilintofauti now nakula karibu
1739812012113.jpeg

Ulie omba mkate wa mchele kesho nitakupikia muda kesho ninao wakutosha kabisa ila Mama Mwana mkate wako unao utaka ule mgumu kidogo na ugumu unakuja pale jinsi ya kuuoka pia hakuna walaji hapa kwangu
 
Back
Top Bottom