Bahari nyekundu au bahari ya sham?

Bahari nyekundu au bahari ya sham?

FALSAFA

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
293
Reaction score
58
Wanajf nataka kujuzwa kwanini hiitwe BAHARI NYEKU[RED SEA] na isiitwe jina lake la awali BAHARI YA SHAM [SHAM SEA]?kuna Siri Gani Hapa? Na Kwa Nini? Source=RAMANI YA DUNIA [THE WORLD MAP]
 
myth inasema kuwa zamani bahari hiyo ilikuwa ya kawaida tu ila baada ya yule mfalme na watu wake kufa kipindi kile cha musa ilibadilika na kuwa nyekundu
 
je hadi leo ni nyekundu?
 
Wanajf nataka kujuzwa kwanini hiitwe BAHARI NYEKU[RED SEA] na isiitwe jina lake la awali BAHARI YA SHAM [SHAM SEA]?kuna Siri Gani Hapa? Na Kwa Nini? Source=RAMANI YA DUNIA [THE WORLD MAP]

Google red tides usome
 
sham ni nani au nini na kwanini bahari oiliitwa sham
 
Nimegusa haya maji eneo la Sharm Al Sheikh kule Egypt. Yametulia saaaana...
 
Back
Top Bottom