Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
We tuombeane tuu, likiwa likukute halikuepuki.Siyo kisukari tu. Na lehemu (cholesterol) pia. Ikigandamana kwenye vimishipa vya damu huko kichwani mtu unapata shoti unakuwa kama kinyago. Kuanzia miaka 35 baharia inabidi kuwa makini sana. Mazoezi sana na kula vyakula vyenye afya (matunda, mboga, samaki na nuts kwa wingi).
Na kila mwaka usikose physical exam na daima hakikisha unajua presha, lehemu na sukari yako. Tujiangalie na kulinda afya zetu.
We tuombeane tuu, likiwa likukute halikuepuki.
Mungu anajua,tuombeaneni uzima.
Unajuwa Sukari imeletwa na kufeli kiungo cha mwili (kongosho ) nadhani au (pancreas) kwa kimombo.
Ninikinaua hicho kiungo ,ukweli hausemwi.
Munajuwa nini?
nasikia Chanjo tunazopigwa utotoni ndio huibukia kulemaza baadhi ya viungo au kutuletea steroke .
Maisha ni changamoto, ukiziba huku unabomoa kule ukileta kinga ya bandia mwilini inaleta side effect ya Cancer, Diabet na pressure, .na mapungufu mengine.
Tutahadharini na chanjo hasa hizi za kulazimishana za bure.,
mimi Mzazi wangu amefariki akiwa na miaka 85 hivi ,lakini bado alikuwa anleta ndugu zangu kwa mkewe mdogo hadi miaka yake ya 75 hivi.
yeye hakuwahipo kupigwa chanjo na hakuwa i mwenye kuenda hospitali mara kwa mara ,alipo umwa alitumia zaidi miti shamba na dawa za kienyeji au kisuna.
Magonjwa yasiyo ya kuambukizwa, tupunguze uvivu.We tuombeane tuu, likiwa likukute halikuepuki.
Mungu anajua,tuombeaneni uzima.
Unajuwa Sukari imeletwa na kufeli kiungo cha mwili (kongosho ) nadhani au (pancreas) kwa kimombo.
Ninikinaua hicho kiungo ,ukweli hausemwi.
Munajuwa nini?
nasikia Chanjo tunazopigwa utotoni ndio huibukia kulemaza baadhi ya viungo au kutuletea steroke .
Maisha ni changamoto, ukiziba huku unabomoa kule ukileta kinga ya bandia mwilini inaleta side effect ya Cancer, Diabet na pressure, .na mapungufu mengine.
Tutahadharini na chanjo hasa hizi za kulazimishana za bure.,
mimi Mzazi wangu amefariki akiwa na miaka 85 hivi ,lakini bado alikuwa anleta ndugu zangu kwa mkewe mdogo hadi miaka yake ya 75 hivi.
yeye hakuwahipo kupigwa chanjo na hakuwa i mwenye kuenda hospitali mara kwa mara ,alipo umwa alitumia zaidi miti shamba na dawa za kienyeji au kisuna.
Vyakula havina afya bali vina virutubisho ambavyo huupa mwili hali ya afya.Siyo kisukari tu. Na lehemu (cholesterol) pia. Ikigandamana kwenye vimishipa vya damu huko kichwani mtu unapata shoti unakuwa kama kinyago. Kuanzia miaka 35 baharia inabidi kuwa makini sana. Mazoezi sana na kula vyakula vyenye afya (matunda, mboga, samaki na nuts kwa wingi).
Na kila mwaka usikose physical exam na daima hakikisha unajua presha, lehemu na sukari yako. Tujiangalie na kulinda afya zetu.
Wako wapi hao Watafiti nchi kiafrika,tumeshughulishwa na siasa na Madawa ya nchi za Magharibi,tumeshindwa kuendeleza dawa zetu za jadi, zipo tele tele tutaweza hizi za Kuletewa?Kama wanasayansi barani humu wamefanya utafiti na kujiridhisha kwamba chanjo za Surua, Pepopunda na Polio zina madhara, wabuni aina nyingine ya chanjo ili kunusuru maisha ya watoto wetu.
Uko sahihi [emoji1547][emoji1547][emoji1547]Vyakula havina afya bali vina virutubisho ambavyo huupa mwili hali ya afya.
Afya ni hali sio component.
YesHii corona imesaidia matatizo mengi ya afya kutengamaa,baada ya wanaume wengi kula malimao,vitunguu na tangawizi kwa wingi.
Tuendelee na dozi zetu @wanaume