Baharia, mwache aende zake tu

Baharia, mwache aende zake tu

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
7,491
Reaction score
8,304
Usimvurugie mipango Kama umekutana nae mjini ,mwache aende. Isipokuwa unajovika jukumu la kumsaidia kufikia ndoto yake,achana nae tu.

Anaweza kuwa mrembo sana anavutia mno lakini kama bado ana hustle kufanikisha ndoto zake achana nae.
Tuelewane mabaharia wazuri hawaishi. Utapata mwingine huyu mwache tu.

Usijichanganye kumuoa wakati tu amemaliza form 4 hata kama kafeli,muulize kwanza Kama ana ndoto ya uTulia Akson kabla hujamvagaa. Atakupa majuto makubwa huko mbele.

Unaweza kumsaidia msaidie akipata mwelekeo oa . Kama hauko tayari baharia acha dunia utaiona chungu.
 
Back
Top Bottom